Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sisi tunataka ubigwa siyo nafasi ya Spurs. Tunamtaka aliyeko juu, Spurs kafanya kazi yake vizuri kabisa.
Ilo suala la ubingwa lifute kwenye akili yako mkuu ..wazia nafasi ya kucheza uefa mwakani
 
Jamaa wanajua SANA
 
Mpk muimarikee mtakuwa mmeachwa mbali sana.
Mkuu nani anatuacha wakati nyie wote mnatusubiri kwa sasa.
Gap ni
10 points kutoka kwa chelsea
5 points kutoka kwa liverpool
3 points kutoka kwa spurs na city
2 points kutoka kwa arsenal.

Sasa fikiria tulikotoka, yunawakuta hapo mlipo mapema mno
 
Kile ambacho unakiwaza wewe kuhusu kushinda na ndo sisi ambacho tunakiwaza. Kwa hiyo itakuwa ngumu sana kutoka apo ulipo mkuu.
 
Mkuu nani anatuacha wakati nyie wote mnatusubiri kwa sasa.
Gap ni
10 points kutoka kwa chelsea
5 points kutoka kwa liverpool
3 points kutoka kwa spurs na city
2 points kutoka kwa arsenal.

Sasa fikiria tulikotoka, yunawakuta hapo mlipo mapema mno
Mechi ya liver ni muhimu sana kupata 3 points,ili kuendeleza hesabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…