Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ndo nlichoongea mchana ule.

Ila kwahakia msimu huu lazima Arsenal wamalize chini ya nafasi ya nne mashabiki wa Arsenal akili ziwakae sawa na huyu babu yao..!!!

Akili zikefika mwisho, Anawabembeleza kwa Big g ikifika tu dic wanaanza kulia upya baada ya utamu kukata...!!
 
Mashabiki wa arsenal wanajifahamu na wenger wao.
Hao sio level zetu kabisa.
 
10 points behind oyo arsenal nafas ya 5
nacheka sana
 
Mwenye kuujua Uzi wa Chelsea humu ndani aniwekee hapa nione wanachojadili recently
 
mkuu nimekukubali na nakubali sana mchango wako kwenye thread hii ya wana man u big up kwa utabiri
 
Ushindi wa Toti ni mwiba mkali sana kwa man u ...najua wengi mnajua iloo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…