Najua. Ila mimi naongelea malengo ya mwisho wa msimu.
Lengo langu ni kupunguza tofauti ya points zetu na yule wa kwanza.
Bado nina ndoto za ubingwa.
Tottenham hatunyimi usingizi, atarudi nafasi yake muda si mrefu.
Na tunaweza kufika nafasi ya 3 ndani ya mechi 2.
Man City mwenyewe hayupo vizuri achilia mbali vilaza Arsenal.
Mkuu mawazo yako ndo mawazo yanguNajua. Ila mimi naongelea malengo ya mwisho wa msimu.
Lengo langu ni kupunguza tofauti ya points zetu na yule wa kwanza.
Bado nina ndoto za ubingwa.
Tottenham hatunyimi usingizi, atarudi nafasi yake muda si mrefu.
Na tunaweza kufika nafasi ya 3 ndani ya mechi 2.
Man City mwenyewe hayupo vizuri achilia mbali vilaza Arsenal.
Ila namuhusudu Payet itakuwa vema tumkachukua kama price tag take itakuwa affordable kulinganisha na umri piaAnderson kafanana sana na Payet
Well said bro.Nimekuwa nikiwaambia watu itakuwa advantage kubwa sana Chelsea akupigwa na Tots, haijalishi Tots watatuacha point ngapi, cha msingi ni kuwa kati yetu na aliyeko nafasi ya nne na tano itakuwa 3pts na 2pts respectively, na 5pts toka nafasi ya pili. Hivyo kwa sasa ingekuwa nzuri zaidi tukianza kumfukuzia kimya kimya Yule Wa juu. Mimi bado naamini Chelsea anaweza kuteleza na asiwe bingwa. So tunachopasqa kufanya ni kuwa pale karibu ili anapoteleza sisi tunashtua kijoti joti.
Sure. Ukiangalia mechi zilizobaki na point tulizotofautiana na hao Chelsea naona kabisa tupo kwenye nafasi nzuri ukichukulia udhaifu wa wapinzani wetu wakubwa ambao ni Man City, Chelsea na Liverpool.Ndiyo...nami ningependa kuona Rent Boys akifungwa na hawa Spuds...kama tuki-maintain hii winning consistence, why not think of ubingwa?
[HASHTAG]#yeswecan[/HASHTAG]
Kiukweli Tot anatakiwa ashinde gam ya leo na naamini atashinda. Chelsea akipoteza leo tutabaki tunafukuza 10 na atakuwa ametiwa gundu pia.Kuna uwezekano chelsea anachukua ubingwa ila ushindi wa Tottenham utatuongezea nafasi kubwa ya kuchukua ubingwa.
Chelsea akifungwa tunabaki na tofauti ya point 10. Tukikutana nao na tukawafunga tutabaki na tofauti ya point 7.
Kuna points kama 54 (18 matches zilizobaki) za kushindania, na ukiangalia consistency tulio nayo, najipa matumaini kabisa kuwa kuna uwezekano wa kuchukua ubingwa.
Lengo kubwa tujiwekee ni kuwafunga walio juu yetu.
Kiukweli Tot anatakiwa ashinde gam ya leo na naamini atashinda. Chelsea akipoteza leo tutabaki tunafukuza 10 na atakuwa ametiwa gundu pia.
Hiki kisasi nakisubiri kwa hamuNa akiharibu hii winning streak itaweza kumcost kwa game zijazo. Ila nina uhakika akija OT lazima akae.
Mnaota nyie......Na akiharibu hii winning streak itaweza kumcost kwa game zijazo. Ila nina uhakika akija OT lazima akae.
Kiukweli Tot anatakiwa ashinde gam ya leo na naamini atashinda. Chelsea akipoteza leo tutabaki tunafukuza 10 na atakuwa ametiwa gundu pia.
Hiki kisasi nakisubiri kwa hamu
Chelsea haina udhaifu wowote.... Ongelea hao wengine lkn si chelseaSure. Ukiangalia mechi zilizobaki na point tulizotofautiana na hao Chelsea naona kabisa tupo kwenye nafasi nzuri ukichukulia udhaifu wa wapinzani wetu wakubwa ambao ni Man City, Chelsea na Liverpool.
Sasa tuna points 39 na zimebaki mechi 18 ambazo zina points 54. Kati ya hizo tukichukua 45 (mechi 15 tushinde) tunafikisha points 84 mwisho wa msimu. Ambao vyovyote vile kama sio mabingwa basi nafasi ya pili (ikitokea tumemshindwa chelsea).
Hata point tukifikisha point 80 sio mbaya.
[HASHTAG]#YesWeCan[/HASHTAG]
Mnaota nyie......
Teh Teh Teh Teh...Picha moja ila inaelezea falsafa moja ya ukweli, na kila kitu ni ukweli mtupu.
Mourinho lengo lake ni kuwashusha wote kwa pamoja, na ndicho kitakachotokea, wanatubeza nafasi ya 6 hatutoki ila tunawacompile wote pamoja kwa kupunguza tofauti ya points na waliotutangulia.
Mkuu hata hatuoti, ila tupo kilingeni tunakuombeeni njaa, ni kama huyu jamaa
Tukutane May mkuu.Teh Teh Teh Teh...
Dua za kuku....
Mkuu mimi may nasubiri kukabidhiwa kombeTukutane May mkuu.
Utakuja niambia.
Kama kocha anapiga mahesabu kama yangu, basi hesabu maumivu.
Naweka kama kumbukumbu.Mkuu mimi may nasubiri kukabidhiwa kombe
Ndo nlichoongea mchana ule.Hahahahhhh uwiiiiiii...!!!!
Nimecheka jamani daaaah, hebu angalieni tawi analokata wenga....!!!! Halafu angalia hasira za Mou,.... Hajali anadondosha wangapi, ye anakata tu shina lote .... hhhhhhhhhhh
Usiku wangu umekuwa mzuri sana , bravo Bavaria