Manchester United (Red Devils) | Special Thread


Hizo target zingine zote kwenye red hazina shida maana zinakuja ku cover nafasi za watu fulani, tatzo ni hapo kwa griezman mi nauona ni usajili usio na maana unaokuja kumpatia wakati mgumu Rashford
 
Hizo target zingine zote kwenye red hazina shida maana zinakuja ku cover nafasi za watu fulani, tatzo ni hapo kwa griezman mi nauona ni usajili usio na maana unaokuja kumpatia wakati mgumu Rashford
Griezmann mwenyewe anaitaka Man United na kuondoka kwake kunategemea kuondoka kwa Diego Simeone ambaye huenda akaondoka June 2018 kwa wakati huo sidhani kama Ibrahimovic na Rooney watakuwepo.Hakuna posibility ya usajili wa Griezmann mwaka 2017
 
Kwa kweli Smalling sasa hivi ana wakati mgumu sana. Ila kuondoka mwisho wa msimu naomba isotokee aisee. Hope atakaza.

Nahisi alitaka kununua CB sababu ya Bailly anaenda afcon.
 
Uwezi kumtegemea Rashford,ana miaka 19. Lazima tuwe na mtu mwenye uhakika na uzoefu.
Noo, sikuwa na maana ya kumtegemea Rashford, ukisoma kwenye hyo article inasema mou anaweza aka bid kwenye majira ya joto wakati huo huo zlatan anaongeza mkataba wa mwaka mmoja it means bado tutakua na zlatan + Rashford as our strikers, ikitokea zlatan akaondoka sitakua na tatzo na usajili wa griz but kwa sasa mi sioni umuhimu wa huyu jamaa kwetu.
 
Kwa mfumo wa Mourinho Griezmann hawezi kuwa main striker lazima atacheza pembeni still Rashford ataendelea kuwa second striker nyuma ya Ibra na posibility ni ndogo sana ya United kumsajili 2017 labda kama Martial,Mata,Mkhitaryan,Rooney,Lingard mmoja atauzwa/majeruhi ya muda mrefu.Priority ya Mourinho ni CB,RB & DM
 

Zlatan alisema anaweza kuongeza mkataba lakini inategemea na ubora atakao kuwa nao. Kama anaona hawezi kuchangia kitu kwenye timu hatoongeza mkataba.
 
Mkytaryan atakua sababu ya kuondoka kwa J.Mata & Kiwango kitamwondoa Rooney
 
Licha ya kuwa bado tupo nafasi ya 6 lakini tumepunguza pengo la point na timu zilizo mbele yetu

Chelsea-Bado pengo limebaki point 13 ,Chelsea wameshinda mechi zote 5
Liverpool-Tumepunguza pengo kutoka pointi 9 hadi pointi 7
Tottenham-Tumepunguza toka point 6 hadi pointi 3
Man City-Tumepunguza toka point 9 hadi pointi 3
Arsenal-Tumepongeza kutoka pointi 10 hadi pointi 1 (Arsenal wanacheza now wakishinda pengo litabaki pointi 4)

Timu iliyopo nafasi ya 10 tulikuwa tumeizidi pointi 3 now tumeizidi pointi 12
 
Napata mashaka juu ya spurs hapa hakuna mchezo mchafu kweli???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…