Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Naona siku hizi unaifahamu timu yako vizuri,kelele zimeisha
Nakula good of good na binti yangu nikimaliza vacation ntaingia huku rasmi vip nasikia mmeshinda mfululizo mmependa toka nafasi ya Sita?
 
Wastage of money
 
Bogus
 
HAHAHAAAAAAA naona mmeamua kufukua makaburi ya wapiga ramli

Manchester united >>S. A. F>>Cantona (in that order)
Mdogo angu mkifika nafsi ya nne njoo woodmont pale opposite dstv hq uchukue uzi OG wa man u wa herrera
 
Nashukuru kwa complimentary kaka yangu wa hiari, nina uzi OG wa herrera na mensah ila nina mchina wa de gea, Rooney na morgan.

Nakudhibitishia mwezi wa pili hauishi mtakua mnagombaniana namba na soton
 
wavimba macho hao wanatia huruma sana.
 
Nashukuru kwa complimentary kaka yangu wa hiari, nina uzi OG wa herrera na mensah ila nina mchina wa de gea, Rooney na morgan.

Nakudhibitishia mwezi wa pili hauishi mtakua mnagombaniana namba na soton
Muda amekua rafiki mkweli sana kwangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…