Yaah yule mmatumbi yupo vizuri halafu kuna
fullback ya kushoto matata sana juzi alipiga bonge la bao na kuna mkoba huo upo poa sana ndio nahodha yao na pia pana mido moja naifananisha na nick butt mwenyewe kiukweli pana hazina pale . Kuhusu kupotelea huko inategemea na viwango vyao kama anakuwa vizuri mbona fosu tunae leo sera hiyo ndio imembeba butt , giggs , brown , neville brother's , Beckham , scholes so sidhani kama nick halijui hilo .