tunaongelea premier league manchester united wameshinda one match in September, one match in october, one match in November naona sasa task ya December one match imeisha tusubiri january...na wameimprove wamejump from 6th place to 6th place....
Sijui tumepunguza ukarimu kwa wageni wetu!maana siku 4 hizi hawaji kwa wingi humu na wanaokuja ni wale wanamichezo wa ukweli wenye chuki wanapita kimya kimya humu.