Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nililisema hilo mlipokua mmechafuana ktk Uzi wenu huu

Chelsea na Utd ndio wako Na fixtures nzuri December hii.
Naijua EPL vizuri ndio maana bado nilikuwa na matumaini kuna timu zikishafungwa mechi moja ndio zinapotea kabisa.Hiki ni kipindi ambacho key players wakipata majeruhi timu inaweza kupotea kabisa.

Arsenal-CB wao Mustafi ameumia na atarudi mwakani na next week wana game na Man City
Man City-Aguero na Fernandinho bado wamefungiwa
Liverpool-Coutinho anarudi mwakani,hawajashinda game 2 mfululizo na Mane ataondoka January
 
Umekuwa negative coz u dont see how United made Spurs look so average.
Spurs nimewaona mechi 3, za mwisho, hata waliyo fungwa na chelsea hawakuwa hovyo kama leo. walikuwa very poor, mfano walimu isolate Kane may be kwa kuwa Eriksenna Dele Ali walikuwa wanashindwa kulink mashambulizi kwa intensity yao ya kila siku, na kocha zile sub alipatia moja lakini mbili zika muua, pamoja na kuwa poor if they could pool off minor corrections wengeweza hata kurudisha.

Uzuri ni kwamba Man utd iliweza ku capitaloze u poor wao, kitu ambachi ndio kina takiwa kwenye mpira. Na wana oewa credit kwa kutumia vizuri mwanya huo kushinda.
 
Nipotee kwa sababu ipi,kuna timu zilishatangaza ubingwa naona wanaanza kulaumu makipa wao

Siku hizi upo kulaumu makocha wenu waliotangulia, mara unamlaumu SAF, mara Moyes then LVG...
 
Huu mwaka una maajabu sana , kuna matokeo yanatokea ambayo hayakutegemewa

Kama Arsenal kupata sare na Utd nani alitegemea? lol ninatania
It's the other way around. Kila mtu alijua tutawagonga
 
5ab7033c2f7f9b880b0950f20dacffac.jpg

For me he is an important and key player
 
Naijua EPL vizuri ndio maana bado nilikuwa na matumaini kuna timu zikishafungwa mechi moja ndio zinapotea kabisa.Hiki ni kipindi ambacho key players wakipata majeruhi timu inaweza kupotea kabisa.

Arsenal-CB wao Mustafi ameumia na atarudi mwakani na next week wana game na Man City
Man City-Aguero na Fernandinho bado wamefungiwa
Liverpool-Coutinho anarudi mwakani,hawajashinda game 2 mfululizo na Mane ataondoka January
Tutumie huu udhaifu kujizatiti kileleni. Nawaombea majanga wote hao at least ikifika february tuwe top 4.
 
Juz kat hapo Kipindi kile cha kina Burnley pia tulisema zinafuata game nyepesi hehehe.
Tulishinda 1 kati ya 4, hebu tusubiri
 
Back
Top Bottom