Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Waungwana kuna uvumi kuwa tumsajili Adryan, huyu mtoto anachezea Flamengo ya Brazil U-17. Huu uvumi umeanzia Italy (Juventus) apparently nao walikuwa wanamtaka.

Habari zaidi baadaye.
 
Waungwana kuna uvumi kuwa tumsajili Adryan, huyu mtoto anachezea Flamengo ya Brazil U-17. Huu uvumi umeanzia Italy (Juventus) apparently nao walikuwa wanamtaka.

Habari zaidi baadaye.

Ebu tuwekee profile yake mkuu.
 
Ebu tuwekee profile yake mkuu.
Mkuu hii habari bado ni uvumi ila naona sky sports wanasema dogo amesaini mkataba na Flamengo
 
Waungwana hii jezi yetu ya ugenini ni mbovu kama ile ya kijivu ya miaka ya 90, imefanana na jezi mpya ya Chelsea ya nyumbani.


Na hii ndio itakuwa ya nyumbani
 




 
Dis is why Manure went wild


Naughty: Mario Balotelli is confronted by Anderson
over his controversial celebration





GETTING SHIRTY ... Balo celebrates







Gary celebration ... ..


Naona sokomoko la Manchester halitaisha hivi karibuni .... .. . khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Thanx AW, du! mana nilikuwa down kweli jumamosi baada ya mechi!!!...

Mpira ni mchezo ambao unatakiwa ulete furaha lakini kwa kitendo kilichofanyika jana pale emirates ule ni ukatiri.

Sijawahi kupatwa na kizunguzu kwa kuangalia mpira,na mbaya zaidi katika kurudia mechi ambayo nilikuwa najua matokeo tayari sema sikuona pirika ziliendaje lakini hii mechi ya liverpool imenipa kizunguzungu na sasa sitowashangaa wale wanaozimia kwa ajili ya mpira tena.
 
Apparently balotelli alimtukana demu wa Anderson hahah msela uvumilivu ukamtoka. Vile vile the FA wanatutumia bill ya matengenezo ya changing room word is it was destroyed.
 
Huyo Balloteli hmna lolote asubiri Manchini atimuliwe aondoke nae
 
Apo Ballottelli angekuw Runi ungesikia 3match ban...let alone swearing ya kocha wa Liva juzi, angekuwa SAF apo yaleyale ya touchline ban, afu kuna mijitu inasema Manure tunabebwa...awa FA was8ng8 sana...hz double standard sijui zitakwisha lini...nyambafu.
 
Hahaha, FA wana sheria zao Man Utd hivi, wachezaji wengine vile.
Hii list nimeitoa kwenye forum nyingine

Robbie Fowler (wakati anachezea Citeh) alifunga akakimbilia upande wa mashabiki wa Man Utd akionyesha vidole vitano - hakuadhibiwa

Wiki moja baadaye Gary Neville alivyoshangilia mbele ya mashabiki wa Liverpool baada ya Rio Ferdinand kufunga - aliadhibiwa £5,000 na kupewa onyo.

Emanuel Adebayor alivyofunga dhidi ya Arsenal alikimbia uwanja mzima kwenda upande wa mashabiki wa Arsenal - aliadhibiwa

Shay Given alishangilia goli mbele ya mashabiki Man Utd (Stretford End) baada ya Craig Bellamy kufunga -hakuadhibiwa

Gary Neville alipewa onyo wakati anashangilia goli la Michael Owen kwenye touchline.

Mario Balloteli kaenda mbele ya washabiki wa Man Utd kushangilia - hakuadhibiwa

Harry Redknapp kawaambia wahandishi wahabari f%^& off wakati wa after game briefing hakupewa adhabu, Dalglish kasikika akisema Piss off na baadaye f%^& off lakini FA wamesema ni tofauti na Rooney alivyofanya. Law 12

Ila tutakomaa nao tu hivyo hivyo.
 
Lineup yetu dhidi ya Newcastle United ni kama ifuatavyo:
Van Der Sar, O'Shea Vidic, Smalling, Evra, Nani, Carrick, Anderson, Giggs, Rooney and Hernandez
BENCH : Owen Park Fabio Evans Valencia Gibson Kuszczak
Berbatov atakuwa amepewa adhabu na gaffer kwa kukosa magoli juzi? Maana kasafiri na timu.
 
Lineup yetu dhidi ya Newcastle United ni kama ifuatavyo:
Van Der Sar, O'Shea Vidic, Smalling, Evra, Nani, Carrick, Anderson, Giggs, Rooney and Hernandez

kikosi kiko kamili hichi ngoja nijisogeze uwanjani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…