Hahahaaa kuna mtu alipinga kwa nguvu zote, time will tellNilisema so far hakuna kitu special Pep amefanya pale Man City
Never happen, jose atabaki kumake headlines simply because he is a special one hata pochetino jana kaongea.At least headlines za magazeti zitampatia mou na utd yake nafasi ya kupumua,its Pep's time to be tailed.
Kwa kweli huu mchezo wakio cheza leo sijawahi ona , very poorNilisema so far hakuna kitu special Pep amefanya pale Man City
Kwa kweli kama akicheza kama leo ata feli,Hahahaaa kuna mtu alipinga kwa nguvu zote, time will tell
Never happen, jose atabaki kumake headlines simply because he is a special one hata pochetino jana kaongea.
Kwa kweli huu mchezo wakio cheza leo sijawahi ona , very poor
Kafanya kitu ila so special, EPL ina mnyoosha
Na niliskia ana lalamika sub 3 hazitosh, mwache ajionee EPL, ila defence yake ni mbovu kuliko hata ya everton kwa sasa.Festival fixtures(December/January) mara nyingi ndio inatoa mwelekeo wa top four ya EPL.Ni kipindi ambacho unaweza cheza mechi 4 ndani ya siku 10
Bosi leo Pep amecheza mpira kama wa Man city ya 2005, aka jitathiminNadhani ameshaamini kuwa EPL sio kama sehemu alizopita huko spain na ujerumani....
Pia kuna habari kwamba katika mechi 14 za mwisho kashinda NNE tu, sijui kama ni kweliBosi leo Pep amecheza mpira kama wa Man city ya 2005, aka jitathimin
Hahahaha may bePia kuna habari kwamba katika mechi 14 za mwisho kashinda NNE tu, sijui kama ni kweli
Kosa kubwa LA Pep ni kua na bif za kipuuzi na wachezaji na kwa mfano kamtoa Joe Hert kamleta Bravo koti tu hapo golini. Hili waingereza hawakulipenda ukizingatia Joe ndio kipa wao. Katoka hapo akaja kwa Yaya. Yaya huyu ni moja ya wachezaji alieisaidia city sn..... Sasa yeye anakuja tu na mambo Yake na kuparaganya timu.Pia kuna habari kwamba katika mechi 14 za mwisho kashinda NNE tu, sijui kama ni kweli
Analeta ujuaji kwenye timu kwa mambo ya kingese acha aisome namba na bado ataona mengi tu mpaka may mwakani atakuwa amenyoka.. Na heshima itakuwa imeshukaKosa kubwa LA Pep ni kua na bif za kipuuzi na wachezaji na kwa mfano kamtoa Joe Hert kamleta Bravo koti tu hapo golini. Hili waingereza hawakulipenda ukizingatia Joe ndio kipa wao. Katoka hapo akaja kwa Yaya. Yaya huyu ni moja ya wachezaji alieisaidia city sn..... Sasa yeye anakuja tu na mambo Yake na kuparaganya timu.
Ukitizama safu Yake ya ulinzi unabaki kushangaa tu. Mara Leo huyu yuko hapa Mara kesho yuko pale.
Alijua defense mbovu alizokua nazo la liga na bundesliga zitafanya kazi na epl aiseeeeeNa niliskia ana lalamika sub 3 hazitosh, mwache ajionee EPL, ila defence yake ni mbovu kuliko hata ya everton kwa sasa.
Na Ranieri hajawahi fungwa na Man city pia , kaendeleza vipigo
Ball possession ilikuwa 78 kwa 22.Hahahaha may be
Ila leo credit kwa leceister ili rudi ile ya mwaka jana, possession sijui hata kama wamefika 20% lakin walikuwa wana accuracy na wana panda vizuri hasa mahrez, yaani nimejiuliza Pep alikuw amesahau kumsoma Tinkaman au ni ana shida gani!!!
Kesho tot wakishinda tu ana kuwa wa 5, hata mashabiki wa City washa anza miguno ya chini chini.
Kosa kubwa LA Pep ni kua na bif za kipuuzi na wachezaji na kwa mfano kamtoa Joe Hert kamleta Bravo koti tu hapo golini. Hili waingereza hawakulipenda ukizingatia Joe ndio kipa wao. Katoka hapo akaja kwa Yaya. Yaya huyu ni moja ya wachezaji alieisaidia city sn..... Sasa yeye anakuja tu na mambo Yake na kuparaganya timu.
Ukitizama safu Yake ya ulinzi unabaki kushangaa tu. Mara Leo huyu yuko hapa Mara kesho yuko pale.
loooooooo.Welcome to DRAW FC.
Man Utd 1-1 Stoke.
Liverpool 0-0 Man Utd.
Man Utd 0-0 Burnley.
Man Utd 1-1 Arsenal.
Man Utd 1-1 West Ham.
Everton 1-1 Man Utd.
The way Man Utd are DRAWING are DRAWING better than HB PENCIL 
Ni kwa sababu Mfumo alokuwa nao S AF hakuna kocha ambaye ataweza kuumud kwa kipind hk kifup
Itachukua mda sana man u kuja kurud kwenye form
Kocha kukaa na tm zaid ya miaka 20 akija kuondoka ni lazm iwe tatizo kwa kwel
Si muumini wa pep, na siku zote nimesema siamini kama pep ni kocha boraNadhani ameshaamini kuwa EPL sio kama sehemu alizopita huko spain na ujerumani....