Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kaka mm niko poa kabisa nimekumiss sana Halafu nina Furaha sana wa jina amerudi .... ...... woyoooooooo Bailly is Back!!!!!!!
Nimekumiss pia.

Furaha muhimu sana.
Wajina na leo yupo uwanjani anafanye yake. Bailly is Back
 
Duh ya leo kali....Rooney naona hasomani vizuri na Ibra pia Blind na Young wanaogopa sana kupanda kutokana na Zorya wako vizuri counter. Kipindi cha pili Ibra inabidi asishuke sana na pia tempo iongezeke tukiwa karibu na box.
 
Pogba anajitahidi kutengeneza video clip tu rooney ndo yalabi tobaa. Aingie big fella tumalize kazi.
 
Duh ya leo kali....Rooney naona hasomani vizuri na Ibra pia Blind na Young wanaogopa sana kupanda kutokana na Zorya wako vizuri counter. Kipindi cha pili Ibra inabidi asishuke sana na pia tempo iongezeke tukiwa karibu na box.
Rooney,Pogba,Mata,Mkhitaryan wote hawaelewani timu inalazimisha kupita katikati ,mechi inahitaji winga kupita pembeni
 
Kwa jinsi nnavyoichukia Europa. Naonaga bora tutolewe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…