Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Belo umeongea vitu vya msingi sn ktk post hii ndio maana Mimi hoja yangu ya matatizo ya Utd inasimamia kwa wachezaji Na si kocha.

Watu hawamuelewi Jose vzr ndio maana wanakuja kujaribu kumshambulia yeye moja kwa moja huku wakiacha tatizo kubwa la wachezaji wenyewe.

Mjadala unakua mreefu wakati swala liko wazi tu
 

Wachezaji gani tatizo....??
 
Sifa kubwa ya kuwa kocha ni kuamua unachoamini kitakuletea matokeo unayoyataka,ukifanya maamuzi ukapata postive result utasifiwa lakini yakigoma wewe ndio utabeba lawama.Pep ametua City aliamua kuwaondoa Hart,Mangala,Nasri,Toure
Klopp kamuondoa Sakho na anamchezesha Lucas beki
 

we ntuzu unasoma na kuelewa

nani anayetengeneza timu icheze kumzunguka IBRA?
 
Mara sizani km kwa Utd wataweza kumfukuza Jose haraka haraka hasa ukizingatia sbbu ya matatizo yao wanayajua.

Mara ya kwanza Abramoney alimfukuza Jose kwa hulka Na kiburi chake huyo Abramoney lkn timu ilivyobadili makocha bila mafanikio alisalimu amri akamrudia tena Jose.

Mara ya pili ilibidi atolewa ili kuinusuru timu maana ilikua haina namna timu ilikua Na mambo mengi yakiisumbua kitu ambacho ilibidi bechi LA ufundi kulitoa.
 
mi naweza sema....!!! hii ni fikra yangu na nadhani niko sahihi majority mtakubaliana na mimi

manure walikuwa wana shine kwa mpira wa WINGS na POWER

mpira ambao haupo tena pale....manure sasa wana taka kupenetrate kuingia katikati jambo ambalo halikuwa analitumia SAF

hii falsafa ya mpira wa kross nyingii na mpira wa kasi na nguvu ilimtoa sana SAF

niwaulize kuna mpira kama huo manure?
 
Sikatai Kocha inabidi usimamie unachoamini na hicho ndio kinaleta uhalisia wa kocha ila mie nasema kwamba pia kocha inabidi ubadilike na tactics kwa jinsi zinavyofanya kazi. Mou anatumia tactics zile zile zilizomfelisha kipindi amerudi Chelsea mara ya pili......na bado zinamfelisha hapa UTD.
 
Klopp kafeli vipi?
Guradiola kafeli vipi?

Yaani we jamaa unaona Mourinho ana faulu halafu kina Klopp wana feli loooh!!!!
Sjawahi kuona
 
Mourinho ni lulu inayong'aa ktk Giza Na wenye EPL wanajua hilo ndio maana hawataki a shine
Mou alikuwa lulu enzi zake ila kwa sasa kasha isha. Na matokeo yana jionesha

Looking back LvG was doing better than him hadi sasa.
 

Nusu ya kwanza nimekuelewa na nna mfaham Mourinho, hasa yule wa mwaka juzi kurudi nyuma.

Tatizo langu ni kuwa ana makosa yanayo jirudia halafu anafikiri yatakuja kuisha hivi hivi tuu, kuna mtu jana nime mwambia Mourinho aliye fukuzwa chelsea ndiye Mourinho tuliye naye sasa, ni kama anaendeleza tu.
Na hawezi kubadilika. Mfano mfumo huu huu mbovu anao utumia angejenga discpline kwa wachezaji lazima angekuwa hata ana vi point 26. Na kelele hapa zingepungungua so huyu bwana ni jipu.
 
Belo kaeleza vizuri ila amemakizia kwa kusisitiza kuwa Mourinho ana shida zake
Sasa zile shida alizo maliza nazo zile ndio zitamtoa man utd
 
Mourinho alifukuzwa Chelsea kwa sababu nyingi na hii ya wachezaji kumgomea inaweza kuwa sababu ndogo sana

1.Ligi ya England competition ni kali sana nafikiri miaka 5 iliyopita hakuna bingwa ambaye ameweza kutetea ubingwa wake timu nyingi zilichukua ubingwa msimu uliofuatia kumaliza top 4 imekuwa challenge (Man City,Man United,Man City ,Chelsea,Leicester).Ushindani wa EPL ukichukua ubingwa hupaswi ku-relax unapaswa kumotivate/kusajili timu iweze kupambana upya.Management ya Chelsea,Mourinho na wachezaji wa Chelsea walirelax sana.Ivanovic,Matic,Fabregas Hazard,Costa walirudi kwenye timu wakiwa off form na walikuwa wamechoka baada kucheza sana

2.Ku-motivate players pia ni kusajili wachezaji wapya ambao watakusaidia kupambana upya,Management ya timu haiku-msapoti kocha kwenye usajili alitaka kuwasajili Stones,Varane na Pogba but hakumpata hata mmoja baada ya mambo kwenda mrama ilibidi kumsajili Pedro karibia na deadline ya usajili.JT,Ivanovic na Cahil umri ulishawatupa na Mourinho huwa anakupumzisha ukiumia tu,nakumbuka JT pamoja na umri mkubwa alicheza mechi zote 38 .Wachezaji waliosajiliwa Baba Rahman ,Djilobodji hawakuwa chaguo la kocha


3.Ule ugomvi wake na daktari ni moja ya sababu kubwa kupunguza morali ya wachezaji,wachezaji karibia wote hawakumuunga mkono kwenye ile kesi hata management ya klabu hawakuipenda so Jose alianza kubaki peke yake kwenye timu ambayo kila mtu alikuwa anampenda

4.Msimu wa 3 huwa ni challenge kubwa sana kwa Mourinho kote alipofundisha
 
Hahahaha
Unamtetea kama nduguyo hivi
Simkubali kwa kweli Mourinho wako, anafeli kuliko moyes!!!! na ata feli sana kama asipo kubali kuwa ni makosa yake.
Mara ya kwanza sijajua aliondolewa kwa sababu gani

Mara ya pili alishindwa ku manage timu, ikiwa ina kila kitu, sijui kama ata iweza man utd yenye mapungufu kadhaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…