UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,886
Ntunzu hali ya timu inayotafuta matokeo inaonekana mapema game ya kwanza liver alitupiga 4 lakini game iliisha 4-3 man walituongoza 1 but dakika ya 89 ilikua 1-1Ni kweli lkn nyie hampigwi nyie sare ndio zinawaghalimu.
Na ukiingalia Utd jinsi ilivyo kwa sasa baba Mou january anatakiwa aingie sokoni kununua Ata wachezaji watatu hivi ktk nafasi tatu hivi. Back line, middle na ushambuliaji.
Nikizungumzia liver hawako nyuma toka kwa viongozi man city pia
Chelsea waliongozwa goli na man city ila uliisha 3-1
Kuna hali ya kutaka matokeo ambayo sijaona hiyo kitu kwa mourinho yeye poa tu yote sawa
Sasa kwa hli hiyo ni sawa we unafikiri nani atakubali kwenda man u kuarbu cV?