Waje tu game zinakataa kimtindo makosa madogo madogo yapo ila kuna vitu unaviona vinaanza kukaa sawa ni kipindi cha mpito lazima tukubali hali hii.Tunakutana na spurs duh
Waje tu tutakabiliana nao hatupo vibaya kama watu wanavyodhani mapambano bado yanaendeleaMECHI IJAYO:
TOTTENHAM VS MANCHESTER UNITED
Sioni sababu ya kumeweka Mata na Rooney nje wakati game mbili walizoshinda 4-1 na 4-0 wamecheza vizuri. Mia
Mkuu hii ni lugha gani? Au na wewe ni kama juma?Mou are days are numbered
Chief, with all due respect, what do you think is the way forward? Any plan(s) you think to take United steps forward?
Nacheka kwa maskitiko, halafu kuna watu wanasema eti timu ime improve!.
Wacha wayaone wenyewe
Mou kaishiwa mbinu, hana jipya anapeleka jehanam, anawaza sana kujilinda kuliko kushambulia, soka la kisasa njia bora ya kujilinda ni kumiliki mpira, unamtoa Mkhitryan then unamuingiza Fellain asiyefaham hata kutoa pass. LolSub za Leo sijazielewa kabisa....... yaani Mimi hasa kipindi cha pili kimeniumiza sana tukawaacha Everton watuchezeshe wanavyotaka,kukawa no connection Ni kutibua tibua tu mpira ,mpira haushuki zaidi ni kujilinda tu,kabla ya sub angalau Hata kaukuta kalikuwa kanaeleweka after sub tukawapa mwanya zaidi ingawaje na sisi tulishambulia dakika fulani lakini kukawa hakuna connection kabisa.
Nacheka kwa maskitiko, halafu kuna watu wanasema eti timu ime improve!.
Wacha wayaone wenyewe
Yaani, ikabidi nii-like hiyo post ya braza. Maana tumeingiliwa na mamluki! Kwenye mechi, watangazaji walisema kabisa, Rooney yupo suspended, hata kama hafuatilii habari za timu, hata kusikia hasikii?!?Punguzeni ushabiki usio na maana Rooney alikuwa suspended baada ya kupewa yellow card mechi iliyopita
Mou kaishiwa mbinu, hana jipya anapeleka jehanam, anawaza sana kujilinda kuliko kushambulia, soka la kisasa njia bora ya kujilinda ni kumiliki mpira, unamtoa Mkhitryan then unamuingiza Fellain asiyefaham hata kutoa pass. Lol
Unaongea ukweli, Mou alibweteka na ushindi wa juzi wa 4 dhido ya west ham, that was just EFL cup!, na hata hivo Wenger jana kampiga west ham huyo huyo 5 tena kwao. This means hata juzi tuli underperform.Mou mbinu zimemuishia toka alivyofukuzwa Madrid, mkuu Mou anatupeleka shimoni, mtu atakaeweza kutuokoa i think ni Diego Simeon.
Haiwezekani unamuacha Shwerztieger nyumbani alafu unamchukua Fellain, akiri ya Mou inawaza mpira wa kujilinda zaidi badala ya kushambulia
Unaongea ukweli, Mou alibweteka na ushindi wa juzi wa 4 dhido ya west ham, that was just EFL cup!, na hata hivo Wenger jana kampiga west ham huyo huyo 5 tena kwao. This means hata juzi tuli underperform.
Kila siku ana jitetea bahat mbaya, how comes iwe bahat mbaya mech zote hizo, thats a crap.
Kama leo ndio nimeona hana tactics kabsaa, Kipindi cha kwanza tulicheza afadhali siyo vizuri na goli lenyewe ibra kafunga ni kipa alifanya kosa kiaina tu, kwa mfano mashambulizi yale ya mwishoni ingewezekana hata tungepigwa 2-1, then anatoka Mikhi ana ingia Fellaini, duuh!!
Mou apewe muda lakin kama kila siku hata admit makosa ana sema tuu we were unlucky hapo nadhani hana maana. Na nakumbuka Moyes alifanya vzuri kuliko yeye japo alikuwa na wachezaj wabovu na wasio mpenda kabsa. pia Mou ana lipwa pesa nyingi ili alete matokeo not otherwise.
Daah! Mkuu nna mengi ya kuandika sema bas tu.
Sidhani kama uliangalia mpira Mkhitarian,Pogba wote kipindi cha pili walichemsha hao ndio walipaswa kutolewa na tatizo sio kuwatoa but walioingia ndio hawakuwa na msaada,Mourinho alipaswa kubadili formation na kumuingiza Mata atoke Pogba/Mkhitaryan
Kwa hili nakubaliana nawe...ila siku patience na team stability (kwa United) havizingatiwi kabisa...Moyes could have been a long term project...sasa baada ya 14 games, watu humu wanataka Mourinho afukuzwe, really?Belo nahisi kama manure walikurupuka kumfukuza MOYES...!!! so far hakuna tofauti sana baina ya MOYES na JOSE
manure wanatakiwa wa stick kwa manager mmoja
Kaka, jibu maswali yangu.Unaongea ukweli, Mou alibweteka na ushindi wa juzi wa 4 dhido ya west ham, that was just EFL cup!, na hata hivo Wenger jana kampiga west ham huyo huyo 5 tena kwao. This means hata juzi tuli underperform.
Kila siku ana jitetea bahat mbaya, how comes iwe bahat mbaya mech zote hizo, thats a crap.
Kama leo ndio nimeona hana tactics kabsaa, Kipindi cha kwanza tulicheza afadhali siyo vizuri na goli lenyewe ibra kafunga ni kipa alifanya kosa kiaina tu, kwa mfano mashambulizi yale ya mwishoni ingewezekana hata tungepigwa 2-1, then anatoka Mikhi ana ingia Fellaini, duuh!!
Mou apewe muda lakin kama kila siku hata admit makosa ana sema tuu we were unlucky hapo nadhani hana maana. Na nakumbuka Moyes alifanya vzuri kuliko yeye japo alikuwa na wachezaj wabovu na wasio mpenda kabsa. pia Mou ana lipwa pesa nyingi ili alete matokeo not otherwise.
Daah! Mkuu nna mengi ya kuandika sema bas tu.
Belo nahisi kama manure walikurupuka kumfukuza MOYES...!!! so far hakuna tofauti sana baina ya MOYES na JOSE
manure wanatakiwa wa stick kwa manager mmoja
Mourinho alifungiwa kwa sababu ya previous history. Mourinho ukikumbuka alikuwa na suspension bans, fines kabla ya last incidents ni kama vile mchezaji anavyopata yellow cards kadhaa (5)then anafungiwa mechi 1. Wenger aliombwa msamaha sababu alikosa sehemu ya kukaa(ktk stand ) baada ya kutoka nje Lakin refa akazidi kung'ang'ania atoke nje . Ukiangalia ile picha utaona akiashiria there's no more further places he can goWenger alipewa red card lakini hakufungiwa na baadae boss wa marefa alimuomba msamaha
Kwa hili nakubaliana nawe...ila siku patience na team stability (kwa United) havizingatiwi kabisa...Moyes could have been a long term project...sasa baada ya 14 games, watu humu wanataka Mourinho afukuzwe, really?