Tungetoa sare hapa ungeandamana kwanini Pogba hajacheza..!!
Muhimili wa timu yetu kwa sasa uko chini ya Pogba, Hererra na Mata kwa mbali na Carrick. Mtoe mmoja wapo hapo kwa mechi tatu mfululizo uone kitakachotokea..!!
Ahsante mkuu, acha tukomae na hili la mbuzi angalau mwisho wa msimu tuwe na cha kusema, kuna eti wale wanaotaka UEFA na EPL wakati nafasi yao ni ya nne we all know that.
Tungetoa sare hapa ungeandamana kwanini Pogba hajacheza..!!
Muhimili wa timu yetu kwa sasa uko chini ya Pogba, Hererra na Mata kwa mbali na Carrick. Mtoe mmoja wapo hapo kwa mechi tatu mfululizo uone kitakachotokea..!!
Nadhani huyo asiejua umuhimu wa pogba hakuangalia mpira jana katikati walikuwa holding tu sana wamecheza pembezoni kwa valencia to mikki na shaw to martial yaan angekuwepo pogba ingekuwa balaa