Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Payet kwa herrera Ali dive
 
Scholes sio mtu wa media kama SG wenu ndio maana hakufanikiwa kwa mambo ya awards zinazochagizwa na media. Lakini uliza viungo wote bora tangu 1993-2011 watakwambia nani kati ya hawa ni bora. Awards ni tofauti na performance,unakumbuka 2010 ballon d'or imeenda kwa nani wakati performance ya uwanjani 100% ilikuwa kwa iniesta? Usibabaishwe na awards,angalia mpira Ngwaba.
 
Madhali tumeanza sisi kushinda sina shaka hii gemu tunashinda, ubovu wa morinyo ni kumtangulia
 
Kama kawaida full kuchezea nafasi naona gape la pogba hkna wakukota mpira aisee kupeleka mbele but so far so gud
 
Panga butu lajisifu kata mgomba ..

Ila sio mbaya mmepenya
 
Dahhh safi sana this is our united hili somo la kujifunza kwa mou watoto hawana muamana unaanzisha mmoja tu wengine wawe sub wakongwe wamepiga mwingi sana hongera zlatan,rooney,vakencia,martial,miki bila kusahau herrera na carrick na furaha ilioje kwa mjeru bastian na kijana wetu rojo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…