Things are going helter-skelter for this man. Aache tu kui-coach hiyo timu ya wauza sura before the situation gets messy!Manchester United boss Jose Mourinho charged by FA over touchline antics against West Ham | Daily Mail Online
Manchester United boss Jose Mourinho charged by FA over touchline antics against West Ham
- Manchester United news: All the latest from Old Trafford
- Jose Mourinho was again sent off during Sunday's 1-1 draw with West Ham
- Portuguese has been charged by the FA for alleged improper conduct
- Former Chelsea boss was also sent to stands in October clash vs Burnley
- Manchester United will not challenge to the new boss over his behaviour
- Mourinho has until 6pm on 1 December 2016 to respond to the charge
- Manchester United news: Jose Mourinho looks as if mood has barely improved after West Ham dismissal
Jose Mourinho has been charged with improper conduct by the FA after he was sent to the stands during Manchester United’s draw with West Ham at Old Trafford on Sunday.
Mourinho was dismissed from the touchline by referee Jon Moss for the second time in six games when he angrily kicked a water bottle in protest at Paul Pogba being booked in the first half.
The United manager has until 6pm on Thursday to respond to the charge – his third FA rap in the space of a month – and now faces being banned from the touchline for the second time this season.
Kukosoa ni muhimu sana but kosoa in a positive way...... sisi kama Man United hatuna negatives....... kuna wakati uvumilivu hutushinda and we shouted but all done in a positive way....... kuna wakati tulikuwa wavumilivu kwa Moyes lakini tukashindwa tukashout,akaja LVG tukashout lakini for good for our team, Hata Mournhio siyo kwamba hana madhaifu yake yapo mengi sana Hata wengine ilikuwa shida sana kumkubali kny Timu yetu as long as ni boss wetu hatuna budi kumpa ushirikiano wetu akishindwa kudeliver kilichomleta tutashout for good for our team........ my dear Iceman 3D Wewe ni mchambuaji mzuri sana wa soka na unajitahidi sana kuifatilia Timu yetu kwa uKaribu zaidi lakini yaani totally umekata tamaa mno yaani huoni lolote jema tena yaani kuna wakati unaongea as wasagasumu ndo maana unaona Man United wenzako wengi wanakupinga ......... anyway relax my dear yote tu tunachangamshana hapa jukwaani maisha ya hapa duniani yawe safi pengine Hata sauti Zetu hazifiki popote....... Let's enjoy life....GGMUNaomba niwe mkweli timu kama iko hovyo tuseme na ndio ilivo, wasiopenda ushindi ni tim gan!!? Hata Arsenal walio kaa a decade au Liver wamekaa almost 3 decades hawaja chukua ubingwa wana penda washinde, tujifunze kukosoa na kuisapot timu na ku kubali reality.
Glory hunters huwa wana switch tim ikishindwa, ila tunao kosoa bila kuhama lazima tuwepo, ni historia ya kujikosoa ndio ilifanya kina Scott Duncan wakaondoka akapatikana Matt Busby, tabia yakujikosoa ndio iliyo fanya kina Mc Guiness wakatolewa akarudishwa Sir Matt Busby, ndio kujikosoa kuliko fanya kina Rowan Atkinson wakatolewa akaja Sir Alex, kila kocha alivumiliwa kwa muda wake na alikosolewa kwa namna yake Mourinho naye hata kosa hapo.
Klabu yetu ina historia ndefu ya ups and downs, but when we were down sidhan kama mashabiki walikuwa kimya tuu wakisubiri kurudi juu.
Lazima tujikosoe because that's who we are and that is our history.
Cc All who thinks they are genuine fans and others are fake
Teehee teeehe naona muda wa kumuandikia barua Mou unakaribia vipi utatumie ile lugha kama uliyomuandikia LVG ama utabadili?kuna wakati uvumilivu hutushinda and we shouted but all done in a positive way....... kuna wakati tulikuwa wavumilivu kwa Moyes lakini tukashindwa tukashout,akaja LVG tukashout lakini for good for our team, Hata Mournhio siyo kwamba hana madhaifu yake yapo mengi sana Hata wengine ilikuwa shida sana kumkubali kny Timu yetu as long as ni boss wetu hatuna budi kumpa ushirikiano wetu akishindwa kudeliver kilichomleta tutashout for good for our team........
Niliisubiri kwa hamu sana post yako mkuu, hadi nikajiuliza labda utakua umebadili ID ndio unaejiita ice man,Tumeshindwa kufunga timu kadhaa lakini ukiweka kando jicho la ushabiki naona kuna improvement kubwa sana.Tatizo pekee naona ni kumpanga Rashford pembeni na kumweka bench Mikh.
Hahahaha Time will tell...... yaani hunishindi kwa jinsi nilivyokumiss, Jana nilitamani sana kuja kukupa hi kule nyumbani kwenu ila ikabidi mtu mzima nife kikondoo, siku hizi mnajidai mno mko mashauzi classic,tusikae Hata kibarazani kwenu tu mshatushitaki kelele mingiii!!!!!........ heheheeee rafiki pole kwa vijembe[emoji23] ..... karibu sana kwetu Asante bana ni kaupepo tu kanapita haka tutakaa sawa tu...... Hongera sana yaani siku hizi full shangwe mko vizuri kwakwelii[emoji122] [emoji122] [emoji122]Teehee teeehe naona muda wa kumuandikia barua Mou unakaribia vipi utatumie ile lugha kama uliyomuandikia LVG ama utabadili?
Btw I miss you, na poleni kwa kwa kukosa furaha
Hahahaha Time will tell...... yaani hunishindi kwa jinsi nilivyokumiss, Jana nilitamani sana kuja kukupa hi kule nyumbani kwenu ila ikabidi mtu mzima nife kikondoo,
siku hizi mnajidai mno mko mashauzi classic,tusikae Hata kibarazani kwenu tu mshatushitaki kelele mingiii!!!!!........ heheheeee rafiki pole kwa vijembe[emoji23] ..... karibu sana kwetu Asante bana ni kaupepo tu kanapita haka tutakaa sawa tu...... Hongera sana yaani siku hizi full shangwe mko vizuri kwakwelii[emoji122] [emoji122] [emoji122]
Niliisubiri kwa hamu sana post yako mkuu, hadi nikajiuliza labda utakua umebadili ID ndio unaejiita ice man,
Nashukuru kwakua umekua muwazi kwamba kuna improvement, japo humpendi jose
Nitatafuta njia mbadala ya kukusalimu[emoji23] [emoji23] [emoji23] ....... Haya Enjoy life majira kama Haya nilikuwa nakufutaga machozi wewe[emoji3] kweli kila jambo na majira yake ........Usinifanyie hivyo nyumba bila mgeni hainogi mtani hata mara moja kwa wiki siyo mbaya
Asante.... Raha ya ushindi lazima ionekane mtani
Mweeeeeeeh.......[emoji87] [emoji85] [emoji86]Usinifanyie hivyo nyumba bila mgeni hainogi mtani hata mara moja kwa wiki siyo mbaya
Asante.... Raha ya ushindi lazima ionekane mtani
Aiiiiiiiiih....[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Nitatafuta njia mbadala ya kukusalimu[emoji23] [emoji23] [emoji23] ....... Haya Enjoy life majira kama Haya nilikuwa nakufutaga machozi wewe[emoji3] kweli kila jambo na majira yake ........
Mahaba bila ya wifu(wivu) hayo sio mahaba.[emoji3]Sikuwezi kwa uwivu Ntuzu wangu!!!...... Jana niliwatembelea huko kwenu hujaniona.... mzima lakini sweet?
Mimi maoni yangu Zlatan apunguziwe muda,Mou arudishe confidence ya Martial na Rashford acheze nafasi yake km Mshambuliaji asikabe ,Darmian kwa kweli Hapana bora Blind,Valencia azidi kuimarishwa,Herrera asirudi nyuma acheze nafasi yake,Mata is mattered kwakweli apewe naye nafasi zaidi......Mkuu nimetazama mechi tano nyumbani ili kuongeza umakini kidogo,unajua unapokuwa na mashabiki wengi unapoteza umakini kwasababu ya kelele na ghasia za hapa na pale.
Mosi,tumekosa bahati kama team,mara nyingi unashangaa tunamiliki mpira vizuri,tunashambulia sana,tunacheza mpira final third na kosa kosa kibao.
Lazima tukubali tena bila ubishi Zlatan umri umemkamata sana,laiti tungempata miaka mitano au saba iliyopita tungezungumza mengine.Man ni chama kubwa haiwezi kubebwa na mshambuliaji mwenye umri wa miaka 36 ingekuwa kipa sawa lakini si mshambuliaji tena katika EPL.
Mikh ni mchezaji mzuri sana ana uwezo wa kupunguza mabeki,ana uwezo wa kufunga ana nguvu na ana akili kubwa ya mpira.Kuendelea kumweka bench nadhani ni kosa kubwa sana hasa kipindi hiki kuelekea mwisho wa mwaka.
Rashford ni mchezaji mzuri sana anastahili kuwepo kikosini lakini si pembeni.Huyu ni mshambuliaji wa kati sioni mantiki ya kumweka pembeni nafasi ya winger wakati uwezo wake wa kukaba timu inaposhambuliwa ni mdogo sana.Nina uhakika mechi yetu na Arsenal angekuwepo Young Chamberlain asingeweza kupiga cross iliyozaa goli la kusawazisha.
Mwisho ningependa kocha abadili mbinu (formation) pale kati badala ya kumtegemea Zlantan pengine Rashford angongezwa kwasababu team nyingi zimeshajua namna ya kucheza na Man wakimkaba vizuri Zlatan tunakosa ujanja wa kushinda.
Mhhhh!!! Tetesi sijui sana ila si unajua tena kila mchezaji lazima ahusishwe na Man U[emoji3] .....Mahaba bila ya wifu(wivu) hayo sio mahaba.[emoji3]
Aisee mi Niko pouwa tu. Nimeona umetutembelea. Naona pia baba aangu José bado anajaribu kuweka timu sawa! Mvumilieni timu itakaa sawa tu. Pia naona anataka kumchukua Obi km DM wenu.
Hiyo njia mbadala [emoji4] [emoji39] [emoji41] ... hahaha nilikwambia kuwa mmechukua 'the cursed cup' ukanikatalia nadhani unaona mwenyewe. .. pole sana mtaniNitatafuta njia mbadala ya kukusalimu[emoji23] [emoji23] [emoji23] ....... Haya Enjoy life majira kama Haya nilikuwa nakufutaga machozi wewe[emoji3] kweli kila jambo na majira yake ........
Mkuu Ntuzu hebu kuwa mpole basiMweeeeeeeh.......[emoji87] [emoji85] [emoji86]
Aiiiiiiiiih....[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]