Najua kwakua droo kwenu ndo ushindi ndomaana mnalalamika sana cheza mpira unaoonekana haya yote hayatatokea mbona wanaoongoza ligi hatisiikii kama yenu ?
Hizo incident nilizoweka hapa zote ziko clear na ndio ambazo timu imepoteza point nyingi kama maamuzi yangekuwa sawa United isingepoteza hizo point.United imefungwa sana enzi za SAF,Moyes,LVG but hakukuwa na series ya matukio kama haya yanayotokea mfululizo
Tukubaliane kuwa uwezo wa mou umefika kikomo
ukizitafuta scape goats utazipata nyingi
Timu yako haiko vizuri bado kubali tuu ndugu it is not a Crime if you admitt
na almanusra westham wapate LATE goal ingekuwaje kama sio msiba.....changamoto mnazopitia ni kawaida
Tukubaliane kuwa uwezo wa mou umefika kikomo
Kucheza vizuri bila ushindi = zero. Pretty football don't win points , goals do.Tangu SAF ameondoka timu haijawahi kuwa vizuri but now timu inacheza vizuri ukilinganisha na msimu uliopita the problem ni kwamba haipati matokeo
Dammmnn! Your pic says you are daft. Your words say you are the daftest as ***!Ligi inakaribia kuisha wenzetu bado wanahangaika kutafuta first eleven
Hasa ndo ujiulize nn tatizoTangu SAF ameondoka timu haijawahi kuwa vizuri but now timu inacheza vizuri ukilinganisha na msimu uliopita the problem ni kwamba haipati matokeo
OMG, we ndio unaongea hivi? Kweli nyani haoni ku**dule.Kucheza vizuri bila ushindi = zero. Pretty football don't win points , goals do.
Ligi yenu inamechi ngapi?Ligi inakaribia kuisha wenzetu bado wanahangaika kutafuta first eleven
Nime mmis LvG
Mkuu ni wewe kweli au?Tukubaliane kuwa uwezo wa mou umefika kikomo
Mbona dogo first half alikua yuko poa ila alionesha kama kupaniki maana alikua anafanya faulo sana na kurudisha ovyo kwa jones, kipindi cha pili mwanzoni ndio alipotea but akaja kujirudi,Umebaki peke yako jukwaani bwana herrera. halafu vipi first half nini kilikupata mkuu? una bahati second half ulijirudi kiasi...