kaka wataifa
Senior Member
- Sep 2, 2016
- 177
- 74
Uongo ni kitu kibaya sana kwa kweli huyo bailly ni mgonjwa jamani tuwe wakweli basi
Weka akiba ya maneno, sisi ni bora tufungwe na Chelsea, Sunderland, West Brom na hata Mbao Fc lakini sio Arse8So what?Historia peleka makumbusho,subiri kesho baada ya mechi historia mpaka itakwenda kuandikwa.
Bora wewe umeongea ukweli. Umefanya kitendo cha uanamichezo.Unazi pembeni. Nadhani mtatupiga ubaya kesho. Huwa tunakuwa na weakness at Old Trafford plus Mourinho factor.
Through............??Mkuu unaweza kunitumia hii clip?
ArsayNO The MandazWeka akiba ya maneno, sisi ni bora tufungwe na Chelsea, Sunderland, West Brom na hata Mbao Fc lakini sio Arse8

Endelea kudhaniNadhani hii game ni ya Arsenal.....Karata yangu nawapa Arsenal.
