Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,851
Wewe unadhani 'chochote atakacho' ni jambo la mchezo?Acha uoga

herrera kesho ukifanikiwa kuifunga arsenal means unapoelekea ni kurudi top 4 kinyume na hapo pole na kwaheriCc McDonaldyJr, kashengo, urbangentlemen, Elly79
Kama nini?Hata nikitaka 1m?
![]()
![]()
![]()
Kuwa specific mkuu.
nyoooooi usawa huu wataka miliion mfyuuuu
We ndio pimbi kabisaaaaaNiwaambie tuu kwa sasa arsenal ni kati ya timu ambazo ukikutana na ukitoka salama shukuru Mungu tena shukuru haswa
Hayakuhusu,katafute wa kubet nae.nyoooooi usawa huu wataka miliion mfyuuuu
Jukwaa la kubeti lipoHayakuhusu,katafute wa kubet nae.
Usidhani wote ni broke kama wewe.
Sawa sawa mimi ni pimbi kweli kweliWe ndio pimbi kabisaaaaa



Wewe unadhani 'chochote atakacho' ni jambo la mchezo?
Kesho inabidi niangalie mpira na daktari pembeni
![]()
![]()
![]()
Mhhhhhh hii salam ya kheri kweli?Khatani or nyundo kipozeo anakusalimu mrembo Nifah