Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,429
- 27,131
Bila kuficha ficha, sina imani na hiyo backline, carrick+jones kweli kazi ipo,De Gea, Darmian, Rojo, Jones, Young
Carrick, Pogba, Fellaini Mata, Rooney,
Zlatan.
Subs: Romero, Blind, Fosu-Mensah,
Lingard, Schneiderlin, Martial, Rashford.
Line up ya leo haieleweki ,advantage ni kwamba Swansea wako kwenye kiwango kibovu sasaBila kuficha ficha, sina imani na hiyo backline, carrick+jones kweli kazi ipo,
Mungu tusaidie tu
Hapana........aseno kashaanza ingia kwenye siku zake hukoNaona man leo mmeokota dodo chini ya mkoroshi. Leo ndio mnaanza ligi ama?
Mwambie game ijayo man na asenoYuko wapi urbangentleman? Arsenal wameanza kutembea na pampas