Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Cha kushangaza kwenye Msimamo uko chini ya kibonde wako....


Sasa sijui ni kibonde wa aina gani..



pamoja na advantage ya alphabet ktk upangaji wa ratiba arsenal huwa juu ya manchester united miaka yote na huwa anaongoza ligi kama kawaida na anaishindwa kuitumia hiyo adavantage ila mwisho wa ligi anaanza kuwa na presha ya kuitafuta top four as if nae ana kocha mpya
 
upload_2016-11-4_15-0-39.png


Jamani mpira sio ugomvi
Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

(and run is L-D-L-L-L-L-L)


upload_2016-11-4_15-3-11.png



upload_2016-11-4_15-3-25.png


upload_2016-11-4_15-3-37.png


upload_2016-11-4_15-3-48.png


upload_2016-11-4_15-3-59.png


upload_2016-11-4_15-4-8.png


upload_2016-11-4_15-4-18.png


upload_2016-11-4_15-4-28.png


upload_2016-11-4_15-4-39.png


Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee na bado.
 
Red Cross team wazee wa Ali Hamisi khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
001694b1502acb9c877556b0c59d4462.jpg

hebu tujikumbushe wadau
mpaka fainali 2008 ya uefa tulipigwa bao 3 tu mamaeeeee
 
Never say Never Liverpool probably thought they will never collapse like Nottingham Forest. Besides Sir Alex and David Gill are not around anymore to buy the trophies.

Hivi serious kabisa...katika akili yako ya kimichezo na uzoefu wako wa kufatilia epl ukiweka ushabiki/upinzani wa jadi pembeni unaamini SAF na David Gill walikua wananunua ushindi...??
 
Hivi serious kabisa...katika akili yako ya kimichezo na uzoefu wako wa kufatilia epl ukiweka ushabiki/upinzani wa jadi pembeni unaamini SAF na David Gill walikua wananunua ushindi...??
Hata van gaal alinunua FA cup msimu uliopita
 
Wadau kwa anaehitaji video ya king eric cantona ya ujumbe aliomtumia Mourinho nicheki PM namba yako nikutumie whatsaap nimeshindwa ku upload hapa
 
Back
Top Bottom