McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,562
bei itajwe mara ngapi? usione donge kisa mwenzio anaendesha Range Rover Sport na wewe uwezo wako baby walker.Mpaka wataje bei halali ya Pogba kinyambe
Cha kushangaza kwenye Msimamo uko chini ya kibonde wako....Me sawa mbovu now...
LAKINI
ARSENNANE8
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
KIBONDE WANGUUU..
Cha kushangaza kwenye Msimamo ukoMe sawa mbovu now...
LAKINI
ARSENNANE8
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
KIBONDE WANGUUU..
2017 atafukuzwa.2016 akasajiliwa Man Utd.
na nani?2017 atafukuzwa.
Nakukumbusha tuu nafikiri unakumbukahahaaaaaa...............................ila haijawa hivyo.
Duuh maneno kuntuTBT United [emoji23][emoji23]
Mzigo mzito unabebwa kichwani lakini kwapa ndio linatoa jasho....namkubali sana Moouren na harakati zake.
Mtake radhi wachina pia wanatengeneza range roverbei itajwe mara ngapi? usione donge kisa mwenzio anaendesha Range Rover Sport na wewe uwezo wako baby walker.
kwahiyo bado unaifananisha na baby walker.Mtake radhi wachina pia wanatengeneza range rover
haya bwana nimeikumbuka.Nakukumbusha tuu nafikiri unakumbuka
Optionkwahiyo bado unaifananisha na baby walker.
Sijui umenielewa wewe?Cha kushangaza kwenye Msimamo uko chini ya kibonde wako....
Sasa sijui ni kibonde wa aina gani..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aache kuwachezesha blind na rojo beki za kati na kuwaamini sana lingard na rashford huenda akapata matokeo mazuriTumechoka kufungwa, mourinho, back to basics, just park the damn bus
Alikuja the choosen1 akaja the replacing1 sasa ni special1 ila bado mnaitizamia mbali ngoja tuone
Tukija kukaa vizuri watakimbia humu bado nina matumaini na timu yetu makosa madogo yakirekebishwa tunarudi katika ubora wetu.
hata fergie yalimkuta tena kipigo cha aibu....nin Mou
teampogba