Karibu sana wenyewe tupo wala usikhofu itapokelewa.
Bado kauli ya upepo wa pesa inasimama palepale kuwa inabidi utie shaka.Mkuu jf kuna I'd za kike lkn ukifanya uchunguzi utakuja kushtuka kumbe ni dume kma ww
Nilidhani huwa hamuangalii game za alhamisi! Man utd akifika nusu fainali tu, europa inakuwa na mvuto kuliko champions league.Na mfungwe.. Ila mkitolewa Europa itakuwa vizuri kwenu na vibaya kwa timu nyingine za EPL.
Fenabahce sio timu ndogo mkuuuManure mmefungwa na mbao fc aise
Mkuu app gani ya android naeza pata live stream ya hii mechi...umeme haya matenesco yamekata hapa!!!
Hapa hatuitaji uvumilivu Bayern, Madrid, Barcelona wote wamebadili makocha ila hatuoni upuuzi kama huu timu inashindwa kufunga goli, Ibra, Martial na wachezaji wengi ni mizigo
Nilidhani huwa hamuangalii game za alhamisi! Man utd akifika nusu fainali tu, europa inakuwa na mvuto kuliko champions league.
Upo nje ya mada kijana vipi?Uandishi wako unadhihirisha wewe ni mnazi wa juzi kama si van persie basi rooney
Linarudi li nini...
[HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG].
Good 1st half performance...the team needs to just put the ball into the net..
Mkuu utd haipo sawa since sir alex astahafu, tunapita ktk kipind cha mpito, ndio maana kina Ed Wood wanafanya kila liwezekanalo kurudisha heshima ya hii timu, inapobid kufukuza makocha na kusajili, even Mou naye anaweza akafungashiwa virago endapo hii timu haitoingia top 4.Hawakosagi visingizio ooh si matajir, tunauza jersy
Next game Herera pia hatakuwepo so Pogba hakupaswa kuanza
Mkuu hakuna app yake?
Huyu dume feki.Piga mmbwaaaaaa hao lazima tuwakojoze sheeeeeenzi type