Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,393
- 17,768
Leteni updates, msijali linarudi....
ndio kwanza limeendaLeteni updates, msijali linarudi....
Mkuu app gani ya android naeza pata live stream ya hii mechi...umeme haya matenesco yamekata hapa!!![HASHTAG]#LetsDoItUnited[/HASHTAG]
ndio kwanza limeenda
Sifahamu apps ya ku-stream live. Uwa natumia Cristiano Ronaldo - CR7 - Real Madrid | Portugal | 2016 kuchukua games..Mkuu app gani ya android naeza pata live stream ya hii mechi...umeme haya matenesco yamekata hapa!!!
Kaumia..Kumbe mnacheza leo? Naona expensive player ametoka dakika ya 30 kulikoni, kaumia au tactical?
hii unaona live?Sifahamu apps ya ku-stream live. Uwa natumia Cristiano Ronaldo - CR7 - Real Madrid | Portugal | 2016 kuchukua games..
Kaumia..