Manchester United (Red Devils) | Special Thread


Usingemjibu
 
Uendelee kutukana hivi hivi hata mwezi April mwakani.Nitakukumbusha uje kuendelea kumtukana.
 
Carrick hajawahi kumwangusha mou kila anapopata nafasi ya kucheza, natamani aanze game v swansea badala ya shwain kama ndio wazo mou.
 
Carrick hajawahi kumwangusha mou kila anapopata nafasi ya kucheza, natamani aanze game v swansea badala ya shwain kama ndio wazo mou.

Shwein hawezi kuwa akianza moja kwa moja,

Mzee ni mtu wa kwenda kutuliza mzuka kama viuongo au timu nzima inaenda ndivyo sivyo. Ni mtu wa kuingia kipindi cha pili kutoa uzoefu wake pale timu inapokuwa inaongoza, kufungwa au kushambuliwa sana.

So sitegemei kuona akianza iwe mbele ya Pogba, Mata, Hererra au yeyote.
 
watu wanahesabu hadi per minute.

Acha kabisa dadangu,

Yaani kwasasa ulichonacho unakilinda kwa gharama yoyote kisije kukuponyoka..!! Huoni hata babu Wenger pamoja na ubahiri wake akilalamika kuwa Wachezaji wake Mastaa wanapaswa kuongezewa mishahara ili waendelee kudumu pale Gunners..!!!??

Anajua mziki wake, Alichokipata kwa Fabregas, Framin, Helb, Song na Nasri hataki kimrudie tena. Na vile mashabiki wake wanaubao wa miaka kumi na kitu ndo anazidi kuchanganikiwa.

Soka la leo bila pesa haliendi..!! Upenzi wa timu uliondokaga na kina, Roy Keen, Cantona, Avrin, Bergcamp, Patrick Viera Stive Gerad, Carragher na wengineo, leo ni pesa mbele...!!

Hivi umewahi kufikiri maishani mwako kuwa Wenger atatoa Paun 42 kununua kiungo mmoja tu.... Narudia, Kiungo siyo Mshambuliaji...!!!!
 
Kwa records za usajili wa Wenger siko vizuri ila najua jamaa ni bahili.
 
Kuhusu wasifu wa huyo mzee ingekua vizuri ungesema mjerumani ingetosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…