Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuuzwa kwa michael keane ni tatizo kocha alieshiriki huu upuuz ni mpuuzi dogo nimemfuatilia game zake ni mgumu sana akikomaa zaid anaelekea kwa ferdinand na terry dogo ana miaka 23 tu

Kweli dogo ni mzuri lakini nafkir pia kwa team hizi ndogo ndogo maana kama ndo unamtegemea yule game za uefa nadhani bado hatakusaidia
 
Na umwambie klabu ina pesa ya kuinunua hata livapool yenyew.......tutatumia pesa zetu zote ili timu irudi kwenye mstari lazima siku moja waje kutuita galactico wa epl
 
Teampogba nipo
Mnaomkataa huyu jamaa mtamuelewa tu mi sijawahi kumkatia tamaa labda baada ya misimu mitatu kuanzia sasa ndio nitaanza kuona tulipigwa

Yaani Nyie Pogba-Fanboys Mutasubiri Sana Kwa Boya Wenu Huyo!!



In Case of Touches ↑↑ He is Far away From Hendo



Who the hell is him??? ↑↑ Even Ngolo Kante is much better than him!!!



What about assist ↑↑ ?? He has 0.00000% of assist wich is equal to £85 million From Juventas!
While Coutinho has 4 assists which is equal to £8.5 million From Intermilan
 
Kwa Mashuti Haya ikisha Hatimizi hata Magoli 4!!!! Ingelikuwa Bongo Yupo Simba! Ningelisema Yanga Wamemroga..
↓↓



Wow! He is only better for this ↓↓

 

Hela tulitoa sisi,

Mechi anachezea Manchester Utd, Faida yake tunaijua sisi........!!!

Nyie mnawashwa na nini? Mmechangia bei gani kwenye manunuzi yake?
 
Yap

Nami nimewaona Shwein na Jones wakipasha hapo, Ukiangalia kwa ukaribu, Shwein ni Mwalimu mzuri sana kwa wenzie uwanjani, halafu ni mtu simple sana. Hana majivuni, kinyongo wala dharau.

Huyu jamaa akikutana na Pogba pale kati itakuwa poa sana japo kwa dakika chache. Ninamategemeo makubwa kwake.

GGMU GGMU GGMU
 
Hela tulitoa sisi,

Mechi anachezea Manchester Utd, Faida yake tunaijua sisi........!!!

Nyie mnawashwa na nini? Mmechangia bei gani kwenye manunuzi yake?



huyo unapoteza nae muda kwa sasa anapuuzwa humu huwa anaongozwa na chuki zaidi



UKIANGALIA POGBA HIYO STATICS IMELETWA YA GAME MOJA TU YA BURNLEY HAKUNA MAHALI PAMEZUNGUMZA KAWASHINDA WAKINA FLANI SASA MUONE ANAVYOHANGAIKA


na jamaa alikuwa clear kwamba ana imani na pogba kwa kiwango alichokianesha sio sawa na game za mwanzo sasa huyo unamuweka kwenye kundi gani? Kuna mahali pameongelewa na hayo aliyoyaleta?


Kifupi jamaa kajikita kwenye improvement ya pogba kaangalia game yake moja kaona jamaa anakuja sasa hayo ya kina walcot,coutinho sijui mashut sijui assist yanatoka wapi ndo mana kuna jamaa huko mwanzo kamzingua haangalii zlatan katengenezewa mipira mingap na pogba kapoteza JAMAA NIMEGUNDUA CHUKI INA MTESA SANA HASA AKISIKIA POGBA HATARI SANA ANAPENDA KUMUONA AKICHEMSHA NGOZI NYEUSI NOMA SANA MPIRA UPO ULAYA MTU YUPO TZ ANAUMIA BALAA.

Na hao jamaa aliwaweka hapa wana misimu mingapi epl:........
 



ni habari nzur sana na hii ni kutokana na herrera kuwa na umeme pale angebaki carick peke yake hii ndo raha ya kuwa na kikos kipana



tatizo lipo kwa zlatan tu kapoteza nafas nyingi za ku score kwa kiwango cha mpira wanamebadiloka sana hata darmian alicheza namba 2 sikuona pengo la valencia pale kat rojo ni balaa safi sana.
 
Hazard to D.Costa.... GOAL

De Bryne to Aguero.... GOAL

Barry to Lukaku.... GOAL

Hendo to Firmino... GOAL

Ozil to Giroud.... GOAL

Pogba to Zlatan.... GOALKICK
 


Kaangalie hizo statistics tena na uzichambue kidogo sio unafanya copy & paste then unakuja kupiga kelele hapa Henderson,Fernandinho na Drinkwater ndio viungo wenye more touch kuliko Pogba na wote waliomzidi wamecheza mechi 10 while Pogba amecheza mechi 9
Katika wote hao Pogba ndio mdogo (23),Hendo (26) ,Fernandinho(31) na Pogba anacheza msimu wa kwanza kwenye EPL while Drinkwater msimu wa 3,Fernandinho wa 4 na Hendo huu ni msimu wake wa 9,

So Henderson is best centre midfielder in EPL ?


Statistics never lie but liers use statistics
 
Nimegundua kumbe we msenge
nimeleta takwimu za pogba vs burnley we waniletea takwimu za msimu wa 2016/17....we choko sana ujue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…