Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kusema kweli timu imebadilika kiuchezaji tangu game ya fenerbahce. Inacheza kitimu zaidi, inashambulia sana na la msingi zaidi inatengeneza nafasi za kufunga, clear chances. Kuna vitu vidogo sana vikibadilika, January tutakuwa title contenders.
Uwiiiiiiiii mtakuwa nani January? Hakuna falme isiyoanguka. kwa mji wa Manchester, city ndio wanawabeba. Vinginevyo soka linarudi london au liverpool.
 
Uwiiiiiiiii mtakuwa nani January? Hakuna falme isiyoanguka. kwa mji wa Manchester, city ndio wanawabeba. Vinginevyo soka linarudi london au liverpool.
Bruhh!! Soka linarudi London na Liverpool? Baada ya 10 games unawezaje kufikia hilo hitimisho?
 
Bruhh!! Soka linarudi London na Liverpool? Baada ya 10 games unawezaje kufikia hilo hitimisho?
Nyota njema huonekana asubuhi mkuu. Nini unategea kwa sasa toka kwa united. Kwa kweli kwa sasa united haina tofauti na vilabu kama soton, westham na kina stoke city. United imebaki kama brand. Mjiandae kisaikolojia kama ilivyokuwa kwa liverpoll na milan ya Gang Chomba.

Kwa sasa mna kazi ya kujenga na kubomoa. Soon utasikia kelele za mou out. Muda utaongea
 
Sawa Sheikh Yahya Jr.
Halafu naweza kuwa naongea na mtu asiye wa mpira. Maana kuandika Liverpool kumekushinda
 
Sawa Sheikh Yahya Jr.
Halafu naweza kuwa naongea na mtu asiye wa mpira. Maana kuandika Liverpool kumekushinda
Hizo ni typing erra mkuu. Ila umeelewa. Kwa nini hamtaki kukubali kuwa mpo kwenye wakati mgumu.
 
. Kwa nini hamtaki kukubali kuwa mpo kwenye wakati mgumu.
Duh! How old are you if I may ask! You sound childish bruh! Yaani unataka tukubali kuwa timu ipo katika mgumu wakati kiuhalisia matokeo yanaonyesha timu ipo katika wakati mgumu? Tukikubali ndiyo itakuwaje sasa! Tuseme ama tusiseme hilo haliondoi uhalisia. Any grown man would know this!
 
Uwiiiiiiiii mtakuwa nani January? Hakuna falme isiyoanguka. kwa mji wa Manchester, city ndio wanawabeba. Vinginevyo soka linarudi london au liverpool.
Unatuhukumu kwa kutokuwa na bahati kwenye mechi ya jana mkuu. Kama isingekuwa kipa wao, nadhani mngekuja na komenti kuwa tumebahatisha ushindi na difference ingebaki kuwa 6pts. game ya 10/38 tayari unaongelea kuanguka kwa zama za utd? Labda unaongelea rugby mkuu!
 
Zlatan:Tatizo la Mourinho ni kutengeneza mfumo unaomtegemea Zlatan na kumchezesha muda mwingi na umri wake hauruhusu.Rashford akipangwa kati hawezi kukosa nafasi nyingi kama Zlatan na kumchezesha winga ni kuharibu kipaji chake,Martial anaweza kucheza winga sio Rashford

Pogba:Muda unavyokwenda anasettle kwenye timu,general perfomance ya timu inamuangusha

Mkhitarian:Kipindi ambacho timu imekuwa haifungi magoli huu ndio ulikuwa wakati wake,Hizo story hana match fitness sio za msingi kabisa ina maana alinunuliwa kwa ajili ya msimu ujao ?
 
Mpira bwana kitu cha ajabu kabisa yaani watu wameshasahau kabisa kwamba wale waliotoa Droo na United wao walifungwa! Na wengine wanaojita mabingwa walifunga goli la usikuuuu tena la mkono!
 


Mkuu Kauli Za Kimpira Zitumikie Zilivyo!! Inaposemwa Liverpool imebaki Historia tu lakini haina Kombe!! Haimaanishi Kuwa Tokea Mwaka 1992 ndiyo haijawahi Kuchukua Kombe lolote!! nadhani unalijua hilo...

Na Tunaposema Man U kabla ya 1992 haikuwa Chochote! Haimaanishi Kuwa Haikuwa ikichukuwa Makombe...

Tunachozungumzia Ni vile Kuwa Dominant katika Kwenye ligi..

Mfano:
Liver Kawa Dominant 1970s - 1980s
Man U kawa Dominant 1992s - 2010s

Kwahiyo Nje Ya Vipindi Hivyo Timu Hizo kikauli ya Mpira Tunasema Si Chochote..

Kwasasahivi EPL haina Dominant bali atakaewaokota Wenziwe Maranyingi Ndiye atakaeibuka Bingwa..
 
I lest my case as I only contradictions.
 
Zlatan ni undropable . Kiunazi nataka amchezeshe midweek na next week 90 minutes both ili azidi kuchoka for the following weekend ( vs Arsenal ) . Mourinho atakuwa kasha make his mind kuwa Zlatan ndiye first choice striker for number of games this season. Vile vile Mourinho anajulikana kwa kutoamini young players kuongoza safu ya ushambuliaji so Rashford kuwa first choice CF under Mourinho (first season ) itakuwa ngumu
 
Rashford anacheza kila wiki,tatizo anachezeshwa winga.
 
Na wewe jipange kiuandishi kuna tofauti kati ya SUPPER na SUPER.
 
Labda umesahau, 2013 man utd walikuwa mabingwa wa EPL. Timu yako haijachukua EPL zaidi ya miaka kumi sasa. Kuna watu humu wanapiga kelele lakini mara ya mwisho Arsenal anachukua kombe wengine walikuwa na miaka 10!
 
Era ya man city? Kipindi hiki kachukua mara mbili United moja, hio ya pili kachukua kwa GD last minute Aguero goal. Labda wachukue mara nyingine tatu hivi ndio tunaweza kusema 2010-2020 ni era ya man city.

2011-man utd
2012-man city
2013-man utd
2014-man city.
 

Marahii Pia Possibility Kubwa Kwa Man City Kuchukua Ubingwa ipo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…