Manchester United (Red Devils) | Special Thread


Miaka 27 bila EPL. Huo sio ukame ni Ugumba.
 
Miaka 27 bila EPL. Huo sio ukame ni Ugumba.

Honestly speaking manure is not going to win EPL soon.....mnatakiwa kuwa wavumilivu sana

kuna kitu kilikuwapo pale (THE FEAR FACTOR) hii kitu kuirejesha naona imekuwa Ngumu sana na itakuwa ngumu sana maana ilijengwa kwa miaka mingi MOYES akaiunja within months, vitimu haviiogopi kabisa OT

kama zamani...

mna kipindi cha mpito hata hamna anaeamini kingechukua miaka 4 -5 hivi ila inakoelekea itafikia 5 au zaidi

mtizamo wangu tu lakini
 
Miaka 27 bila EPL. Huo sio ukame ni Ugumba.

Basi Sio Kauli Sahii Kusema Miak 27 bila Ya Kombe! Bali Miaka 26 bila ya EPL kwani Makombe Mengine Ya Aina Zote Tumechukua..

Katika Soka Kila Mtu Na Era Yake... Sisi Era Yetu ilikuwa 1970s - 1980s...

Na Man U Era Yake ni 1992s - 2010s..
Kabla ya 1992 Man U haikuwa Chchote Katika Ulimwengu wa Soccer...

So, era zenu Zimeshaisha Kama Zilivyoisha Zetu....

Huenda ikawa sasahivi ni era ya Man City kwenye EPL....

Tukubali matokeo tu....
 

Nakubaliana na wewe. Mou kapewa mda mrefu wakujenga timu anayoitaka.
 
Nakubaliana na wewe. Mou kapewa mda mrefu wakujenga timu anayoitaka.

Suala la muda ni unpredictable maana mpira wa sasa hivi

  • 3 back to back defeats tu fans wako wana aanza Hashtgs za ufukuzwe hamna uvumilivu

  • owners ukishindwa kumeet target ya UCL spot lazima wakutimue
  • hupaswi kupata matokeo hasi yanayofuatana maana ni kutengeneza Crisis na presha kubwa sana kwa manager na na players
kifupi mpira wa sasa una demand immediate results suala la kupatiwa Time asee ni nadharia ngumu sana kueleweka
 
Ndo shida ya kuwa timu kubwa ukishinda umebebwa ukipigwa timu mbovu ukitoa droo utasubir miaka 20 ukipak bas ushakuwa timu ndogo

ukubwa jalala acha watoto watambe mafanikio yako yapo karibu na uadui mkubwa sana MANCHESTER UNITED INA HITAJI MSHUMBUALIAJI INAANGUSHA POINT KWA KUKOSA WAKINA CHICHARITO TATIZO LILIANZIA TOKA GAME YA MAN CITY ZLATAN ALIKOSA GOLI TATU ZA WAZI



pogba kamtengenezea ibra mipira mingi sana toka game na stoke city martial na mikhitaryan wanapaswa kumuweka bech huyu jamaa lingard bado sana mata ni mata kweli
 



zlatan kapoteza nafas hiyo ya waz kabisa martial vs liverpool na southampton alizipata na alitumbukiza


rashford vs man city alitumbukiza ibra kapoteza hizo nafas mfululizo toka game ya stoke city
 
Basi wewe bingwa wa epl mwaka huu..
 
Ligi bado mkuu au huijui Epl wewe..? Tuliza mshono utaadhilika baadae kenge wewe
 
zlatan kapoteza nafas hiyo ya waz kabisa martial vs liverpool na southampton alizipata na alitumbukiza


rashford vs man city alitumbukiza ibra kapoteza hizo nafas mfululizo toka game ya stoke city

Hilo Tuliwaambia From the Beginning Kuwa Ibra Hatokuwa Yuleyule tena Kwani Umri Umesonga na Shabaha inapungua! Mukabisha Mukasema Ibra ni Bonge la Striker...

Timu yenu itakapo mpata Mtu Kama Griezmann basi sote tutalikimbia Jukwaa hili...
 
Sometimes to win you need a little lucky...jana angel of luck hakuwa on our side...the team performance was high we tried everything we can lakini ndio hivyo haikuwa yetu...um proud of my team
 
Ligi bado mkuu au huijui. Epl wewe.. Tuliza mshono utaadhulika baadae kenge wewe

Unanita Kenge????
Nimeangalia Profile Yako Umezaliwa Dec 1, 1997 ambapo mimi Nilikuwa Nina Miaka 14 ninasoma Form one! Wakati Huu Nilikwishabaleghe na Nimeshaanza Uhusiano Wa Kimapenzi na Baadhi Ya Wanawake Not sure If your mother was one among of them! Kwahiyo Huenda ikawa mimi ni Babayako Mzazi... Lakini Zaidi Kapime DNA ujilinganishe na mimi au Muulize Your Biological Mother, Who is Your real Father!!
Kwa Kuongezea tu!!! Blood Group Yangu ni B+, Hair Colour ni Black, Eye colour Brown-Blackish.... Skin Cour ni Black...
 
Haha mkuu usipaniki wamevurugwa hao wanatataka wakuvuruge nawewe mkuu wee shangilia ubingwa unakuja maana kwa kasi hii ya klopp sijui kima gani atamsimamisha [HASHTAG]#Ynwa[/HASHTAG]
 
Me sitaki kujua sifa zak, wasifu wako... Juc go direct kwenye mada vipi mkuu?... Unaonekana mgumu kuelewa kwanini?
NB:unaweza ukawa human being but still ukawa na sifa za kenge
 
Labda niulize ni msimu upi ambao Manchester united yupo ktk fomu na liverpool akawa ktk fomu pia? Binafsi sikumbuki
 
Kabla ya 1992 Man U haikuwa Chchote Katika Ulimwengu wa Soccer.......
Wewe endelea kuwa shabiki wa Loserfools. Usijifanye unafahamu historia ya timu ambazo huzishabikii!

Ngoja nikupe darasa kidogo:

Kabla ya EPL, United ilikuwa na 7 division titles; 7 FA cup titles; 1 UCL championship (the 1st English team to do so); 1 European winners cup; and 1 European super cup. United had world class players: Bobby Charlton, George Best, Bryan Robson, Brian Kidd, Mark Hughes, Paul Ince, and Nobby Stiles.

You call that "haikuwa chochote katika ulimwengu wa soka"?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…