Manchester United (Red Devils) | Special Thread



Wazee wa kulalamika khee khe e kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee



That's how you spend £89 million ..... .







Rui Faria replaces Moureen ....


What is the Mata
khe khe khe khe heeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee


Kilio cha Manure
Khe ke khe khe ke heeeeeeeeeeeeeeee
 


f u c k off ndiyo maneno yake
What a loser khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Weekend njema ngoja tuchubiri F1 chacha kule Mexico ....... ...... ....
 
Kutokuepo Na Dominant Team haimaanishi Ndiyo Man U itakuwa na Nafasi... Zama Za SAF kucheza na Marefa Zimepita mkuu...
Manu nayo ni timu ya epl, mimesema hakitokuwa na dominant team ya epl, haijalishi ni timu gani.
 
Mkuu uwe unaangalia mpira kabla hujaweka utumbo wako hapa.
 
Hivi kumbe Mourinho kafungwa? Nilikuwa sijui, hongera sana Burnel kwa ushindi.
 
Kipa wao kafanya save nyingi achilia mbali zilizo kula besela ndio game zinavyokuwa cha msingi nimependa tunavyo tengeneza nafasi kuna uhai flan hivi unaonekana
Sio uhai flani, ni uhai wa uhakika. Besela limegongwa mara mbili ndani ya dakika moja. Achilia mbali lile shuti la tick tak la Ibra lililomtegua kipa mkono.
 

Nafikiri mnaelewa maana ya sisi soon or later mtaelewa kama bado vichwa ngumu
Wewe subiri ukutane na vigogo. Mpaka sasa hivi mwishoni mwa October hujacheza na kigogo hata mmoja.Halafu unajiona una timu. Kuanzia kwenye EFL, EPL na UEFA yenyewe unakutana na timu ambazo hata majina hayajulikani. Niambie ile timu ya mwisho kucheza nayo UEFA ni ya wapi na inaitwa jina gani. Subiri Bayern, Barca na Madrid wanakusubiri wakupige 6 huko.
 
Vigogo gani unazungumzia CHELSEA!!!??
 
Mkuu uwe unaangalia mpira kabla hujaweka utumbo wako hapa.

Nilikuwa Sijui Kama Ubingwa unapatikana Kwa Pasi nyingi na Mashuti Fiza Mengi... Hongera Mkuu Kwa Timu yenu Kupiga pasi Na Mashuti Mengi.. Mwaka huu munatisha... Mashuti 30 bila ya goli!!!! Nyie Wakali... Nawaonea Huruma Wale Wabovu Wenzangu Liverpool, Arsenal na Mancity Kwa Mashuti 7 lakini Magoli 4... Wanapaswa Wajirekebishe Angalau Nawao Wawe Kama Nyie Mashuti 30 bila ya Goli..
😀😀😀
 
Miaka 23 bila ndoo yoyote unathubutu kufungua bakuli lako???

Wewe Sikushangai Kwasababu Huenda Ukawa Umezaliwa 2016...
Kama umezaliwa Chini Ya Hapo Basi Ndani ya Miaka 23 tumeshachukua Makombe haya:-
↓↓↓↓↓↓


2000/01 → UEFA Europa Cup

2004/05 → UEFA Champion League

2001 → Europa Supper Cup
2005 → Europa Supper Cup

2000/01 → FA cup
2005/06 → FA cup

1994/95 → League Cup winners
2000/01 → League Cup Winners
2002/03 → League Cup Winners
2011/12 → League Cup Winners

2000/01 → Charity Shield Winners
2006/07 → Charity Shield Winners


Sasa Kama umekusudia Ndoo Ya Maji!! Hapo umepatia... Lakini Kwa Makombe Makubwa Yote Basi Tumenyanyua!! Tulilokuwa Hatujabeba Premium League tu!! Kwahiyo Liverpool Hatuna Ukame Wa Makombe bali tumeshindwa Kunyanyua Kombe moja tu la Premium League...
Usikurupuke jipange kiuandishi kwani huu mchezo hauhitaji hasira..
 
Sio uhai flani, ni uhai wa uhakika. Besela limegongwa mara mbili ndani ya dakika moja. Achilia mbali lile shuti la tick tak la Ibra lililomtegua kipa mkono.
Kweli ndugu mabadiliko yapo na tuombe yaendelee vijana walipigana hilo lipo wazi wanaobeza waache wabeze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…