Kusema kweli timu imebadilika kiuchezaji tangu game ya fenerbahce. Inacheza kitimu zaidi, inashambulia sana na la msingi zaidi inatengeneza nafasi za kufunga, clear chances. Kuna vitu vidogo sana vikibadilika, January tutakuwa title contenders.Ha ha ha ha ha! Sijui Hao GGMU wenzio Wana Mawazo Kama Yako?? Hivi Unahisi Kuna Mtu Anayeoogopa Kivuli?? Mana Nyinyi Sasahivi Ni Shadow tu La Man U..
Yaan nmefikiria halafu nimeona tunako elekea si salama.Come on!!!...... be positive man no negativity at OT !!!!....... umesahau falsafa yetu?
Kusema kweli timu imebadilika kiuchezaji tangu game ya fenerbahce. Inacheza kitimu zaidi, inashambulia sana na la msingi zaidi inatengeneza nafasi za kufunga, clear chances. Kuna vitu vidogo sana vikibadilika, January tutakuwa title contenders.
Come on!!!...... be positive man no negativity at OT !!!!....... umesahau falsafa yetu?
Huoni aibu kujipendekeza?huo ni ujinga wako
Hahaha Asante Mtani mwaka Juzi walituonea sana,mwaka Jana nikawazima kiheherehere chao hope Hata mwaka huu nitawafunga midomo. .....karibu... hongera Mtani naona mambo yenu bambam kama kawa ila sijui ndo mwishoni mtaharibu kama mlivyozoea?Hongera mtani umepata angalau pointi naona bwana Pogba anarudi kwenye kiwango chake maana leo second half kaupiga mwingi sana,jipange na Swanselona then nitakuja gheto kwako kuna kikao tukifanye.
Humu shangwe kama kawaida "we don't stop when we tired we stop when we done"........ GGMUBaada Ya Kumuotea Man City Mulikuja Na Shangwe Hapa Mukaona Kama Tayari Mumeshakuwa Na Timu! Kumbe Bado Kigenge Chenu Kina Gundu...
Haya Na leo Njooni hapa mufanye Shangwe lenu.... Nadhani Jitahidini Mupate Japo Nafasi Ya Tano Ya Kucheza Europa League Kabla Spurs/Everton Hawajazina Matumaini Yenu...
Ngwaba, kwetu wametafuta droo ilhali kwenu wamewanywa 2-0. Umeona tofauti yake?
Mkuu na kichuyaBila kumsahau CHIRWA
Hahaha Asante Mtani mwaka Juzi walituonea sana,mwaka Jana nikawazima kiheherehere chao hope Hata mwaka huu nitawafunga midomo. .....karibu... hongera Mtani naona mambo yenu bambam kama kawa ila sijui ndo mwishoni mtaharibu kama mlivyozoea?
Humu shangwe kama kawaida "we don't stop when we tired we stop when we done"........ GGMU
Haiwezekani, hamna timu ya epl itakayokuwa dominant tena!
It's impossible at OT but at Anfield was and still possible.......Oh no!!! I'm very sorry to you! Hang on, Do not lose hope!! May be after 20 years you'll be back to your winning era...
πππππ
It's impossible at OT but at Anfield was and still possible.......
Hama timu chacha aibu!It's impossible at OT but at Anfield was and still possible.......