umenielewa vibayaKwahiyo jukwaa la mashabiki wanakaa watoto?
ndioHv ameadhibiwa au?
Huo ndio mpira, lazima kuchangamshana kiongozi.Huwa mnatujali kipindi kama hiki, tukishinda hamuonekani
Wenzio Burnley wanaona kuna Pogba wanne!Vip pogba kaanza leo? Au yuk bench?![]()
KARATE KALETA UWANJANIDuuh! Zlatan haya mapigo yake, ataua kipa