KIPA NI MZURI AMESAVE MIKWAJU YA USHINDIKipa wao yuko vizuri
HA HA HAKama Bongo tungesema Rooney kashamuendea kwa babu
Sio kila mtu anaweza kuangalia mpira na kupost JF. Peleka unazi wako mbele huko!
Nakuzingua tu...Tena nimeshangaa leo umechelewa kuja kumwaga sumu.Munkari umepanda sio. Mkishinda utakuja na dhihaka. Take it easy ni Burnley tu hawa, mnaweza kuondoka na pointi.
Hv ameadhibiwa au?mou yupo jukwaa la mashabiki kama mtoto hahaha
mou yupo jukwaa la mashabiki kama mtoto hahaha