Amekosa tena goli la wazi.
Hiki sio kitu cha kushangaaZLATANI KAKOSA TENA GOAL
Sio kila mtu anaweza kuangalia mpira na kupost JF. Peleka unazi wako mbele huko!Naona mnawatesa Burnley hadi sasa hivi. Waliokunywa maji ya bendera wengine wamejifichia wapi? Hahahahaha Garbage, Garbage Manchester United..
NI BEKI MZURI SANARojo anapiga kazi leo hataki utani