Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kweli united kiboko na wewe unashinda humu?!

Hamna ukiboko wowote mpira wenu upo kwenye Sky Sports chacha hutaki tuangalie? Huyo Guadi hola anaudhi sana ugomvi wake na Aguero bado haujaisha. Bora mmeshinda lakini mnachubiriwa kwa hamu maana hamna timu ni kukurupuka purukuta tu. Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Duh! Chifu ebu acha kujitoa ufahamu! Hiyo maana yako ya kinda ndiyo naisikia leo! Yaani mtu ana miaka 24 anaitwa kinda? Hivi unajua mzizi wa neno kinda? Hilo ni neno la kijerumani kind (kwa singular form child) na kinder (kwa plural form children). Sasa wachezaji wanapoitwa kinda, umaanisha ni watoto! Sasa huyo mtu mwenye miaka 24, anakuaje kinda?

Huwezi kusema "non premier league regular player" ndiyo inamaanisha kinda! Kwa hiyo akija mchezaji kasajaliwa kutoka ligi nyingine na ana miaka 30, hajawahi kuchezea EPL, naye utamwita kinda?

Kubali umechemsha blood.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…