Manchester United (Red Devils) | Special Thread

hivi man u kumbe ukiifunga unajisifia
 
Parents has got nothing to do with us michezo ni burudani kaka


kaka wewe ni mara nyingi tunataniana sana pamoja na huo utani sijiwah kumwandika mtu sijui mwehu au lugha ya kuudhi sasa huyo mara nyingi ana lugha za hovyo ukiona hivyo
 
Yaani Ninakushangaa Sana!! Unajifanya Mchambuzi Wa Soka Ukaita Watu Mashabiki Maandazi!!! Halafu Unaishia Matusi!!
Sasa Mchambuzi Wa Soka Anatukana Watu?? Au ndiyo Uchambuzi Wenu huu Munaojisifia nyie Manne United??


tafuta nilipoandika shabikl maandaz halaf mi sio mchambuz na sijawah kuwa mchambuz tafuta chanzo sio unakurupuka ku kujib sijawah kumwandikia mtu lugha ya kuuzi ukiona hivyo jiulize
 
tafuta nilipoandika shabikl maandaz halaf mi sio mchambuz na sijawah kuwa mchambuz tafuta chanzo sio unakurupuka ku kujib sijawah kumwandikia mtu lugha ya kuuzi ukiona hivyo jiulize


Mkuu Taratibu! Mourinho na Manne United Wasikufanye Upoteze Kumbu Kumbu! Ninapokwita Mchambuzi Simaanishi Kama Wewe Ni Garry Nevill au Wewe ni Commentator wa SkySport!!! Ninaozungumzia Mimi Ni Huu Uchambuzi Wa Kitathmini Katika Jukwaa Lenu Kabla/Baada Ya Mechi...! Mkuu Ukweli Usiofichika Ni Kwamba Unakuwa Mkali na Dharau Zidi Ya Supporters Wa Timu Nyengine! Hivi Huwezi Kuaccept Challenge Ndogo Kama Hizi!! Sisi Tulipofungwa Na Burnley Watu Walikuja Kukinukisha Katika Jukwaa letu na Still Tukamaintain Ustaarabu Tukawa Calm Kabisa!
Badilika Mkuu You Can't Run From The Truth....


 



umenifanya nicheke sana hapo huoni kama ulitumia lugha ya kuzalilisha huwez kumwambia mwanaume aje geton kwako halafu uachwe hizo lugha hazitakiw ukileta lugha za hovyo utajibiwa kwa hiyo lugha mpira na huyo sio mala ya kwanza kuniandikia hivyo ndo mana sikumuacha mi sinaga ujinga kwa mtu anaejitambua pia hao wanaokujaga huko mi hawanihusu mi huwez kuniona huko mi utaniona barcelona,madrid na hapa hizo ndo timu ambazo napenda kujua mambo yao basi
 
acha kulia lia wewe si kweli umekuja geto" ukapigwa bao 4 ........... povu la nini?

ungetaka usiambiwe hivyo mlivyo muona jongoo" msingeinama mkashika magoti.
 
acha kulia lia wewe si kweli umekuja geto" ukapigwa bao 4 ........... povu la nini?

ungetaka usiambiwe hivyo mlivyo muona jongoo" msingeinama mkashika magoti.

kumbe na mimi nlikuwa sawa kuwazingua kwa nini wapanic?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…