Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kweli kabisa ila nadhan kuna beki wa monaco mou anamtaka
 
mwehu mama yako baada ya mechi ya manchester united kafanya nini?

Yaani Ninakushangaa Sana!! Unajifanya Mchambuzi Wa Soka Ukaita Watu Mashabiki Maandazi!!! Halafu Unaishia Matusi!!
Sasa Mchambuzi Wa Soka Anatukana Watu?? Au ndiyo Uchambuzi Wenu huu Munaojisifia nyie Manne United??
 
Donald unaua hahahaha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] donald we ni nyoko duuuh hahha kansa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] donald we ni nyoko duuuh hahha kansa

Hawataki kukubali ila hali yao tete kwa mwendo wao huu wanawapa confidence hadi timu ndogo kuja kupambana nao,jana wamecheza ovyo sana.
 

Mkuu herrera naomba maoni yako baada ya mechi tisa unamwelezeaje special one.
 
Mourinho is finished, nearly relegated Chelsea, spent 150m& is playing 10 men behind the ball to try and grind out draws in October
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…