Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Namuonea huruma everlenk, anavyoipenda MANU bila shaka leo kalala mapema sana sijui hata kama atapata usingizi kwa hiki kipigo takatifu cha leo.
Nipo wangu yaani Leo bahati nilitolewa out dooooohhhhh......na masharti yakawa no interferance ya kitu chochote..... mbona ningekufa ingekuwa live? Ashukuriwe Mungu huyu baba aliyeikumbuka ndoa yake akaunusuru uhai wangu .....nipo naangalia marudio hapa ilikuwa ni aibu,anyway ndo mchezo. ...Asante Kwa pole.
 
La Nneeeeeeeeeeee mamaee Mourinho Bonge la Kochaaaaaa
Matusi ya nini kaka? ingelikuwa lile jukwaa lenu pendwa Mods wangekoma kwa kitufe cha kureport..... BTW Hongera sana... ulinikabidhi kwa rent boys hakika kilio chako kimesikiwa hawajakuangusha nenda uwalipe compliment yao
.
 
Matusi ya nini kaka? ingelikuwa lile jukwaa lenu pendwa Mods wangekoma kwa kitufe cha kureport..... BTW Hongera sana... ulinikabidhi kwa rent boys hakika kilio chako kimesikiwa hawajakuangusha nenda uwalipe compliment yao
.


 
Conte alisema siri yake kweli... ila ukitizama Video Zoom Morinho mdomo unaonekana kuongea ingekuwa Kiswahili tungejua, ukweli wanajua Morinho na Conte pia nawanaojua kusoma lips kwa Kitaliano.
Ndo wameshatafsiri hivyo..,
 
Kupata au kukosa yote ni matokeo.....Leo tulishindwa .... lakini maisha bado yanaendelea na yanapaswa kuendelea..... Glory Glory Manchester United.
Pore, mwaya pole. Maumivu ni haki, kulia ni haki na kutokwa na machozi ni haki.
Dhambi ya kumfukuza LVG wakati alianza kujenga kikosi poa inaanza kuiadhibu Man. disunited.
 
Tumezipokea pole zako kwa dhati maneno ulonena ni kweli kabisa wacha tuendelee kujipanga kipindi cha mpito huwa kigumu sana thanks Nifah
 
Yaah! ndio maana ya kipindi cha mpito hicho time will tell ila tunafurahi mnavyokuja kwetu ina maana mnatukubali kila la kheri ndugu yangu sisi tutaendelea kuwa united.

Tunawakubali Kweli Kwa Vipigo Vitakatifu Munavochezea!!
Manne United Zama Zenu Zimeisha n mutakubali tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…