Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sasa kaka, wewe ni msimu wa wangapi unatoka kapa? Au Goobers kutoka kapa misimu 10 ni sawa na kawaida tu?
you are heading the same direction....

mi nawakumbusha tu.....

kama watani....hii Transition itakuwa Longer than Expected

Mwaka wa 4 huu.....Futa tayari
 
Unamaliza wino mkuu, united limebaki jina tu. Sawa jibwa kubwaaa lisilo na meno. Mou hata game plan hajui! Anamwekaje Martial bench aanze lingard?

Bado vipigo vinafwata. Tulieni dawa iingie.
 
Tumefungwa sawa roho inauma sana na hapa nimelala lakini bado nawaza hivi mpaka ngolo kante anachambua beki zetu huyu huyu kante dah mou we usitufanyie hivi aisee
 
Sawa ndugu tuna kelele na vile vile tuna kilele cha mafanikio so hiki kipindi cha mpito naamini tutarudi penye u mwamba wetu kama timu inafanya vizuri tukishangilia kumbe inageuka kelele? tupo pamoja kwema lakini huko?
It will take time mkuu
 
Lazima atawaangukia Carrick na Shweinshteiger at some point, atachoka kuwategemea Herrera na Fellain kama pivot katikati.

Old is gold wakati mwingine.
 
Mourinho alimpa jina de bruine wakat kiaz tu leo tena karudia yale yale timu bovu kilipa jina
 
Udaku! Kama umemsikia Jose wakati post-game interview, kasema alichomwambia Conte ni siri yake, labda kama Conte aamue kusema alichoambiwa.

Udaku sio angalia magazeti kadhaa yana ripoti alichosema Mourinho.. Daily mail pia limechapisha hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…