Lazima january asajili hakuna namna paleMourihno alitakiwa ampange carrick leo yule ni namba 6 in nature ndo maana kuna kipindi hata babu alikua anamtumia kama beki 4/5
Timu haijabalance leo kati ya viungo/beki na forward,beki imepwaya sana leo
Herera ni mzuri ila katika marking hayuko vizuri sana na pasi zake nyingi ni Square pasi/pasi za pembeni tofauti na carrick ana uwezo wa kulazimisha pasi za kwenda mbele
Owen hagrevas alisema ni zamu ya pirlo wa manchester/carrick kucheza na Pogba
Ukiangalia leo Chelsea amechezesha viungo wawili wakabaji wa asili kabisa/Kante na Matic
Pogba kapata kazi sana kwani ilibd afuate mipira nyuma na kuipeleka mbele.
Inabid tusajili namba mbili wa asili Valencia anazidiwa japo anajitaidi
Bado mapema tumpe muda kocha
everlenk kamaliza vitambaa vyote kujifutia machozi anamkumbuka Moyes kama wanavyomkumbuka JMK!Leo everlenk kasusa hata kutia mguu humu. Pole everlenk usilie sana ndiyo EPL hiyo. Poleni Wakuu huyu Mourinho hawafai kabisa ni janga kubwa.
Cha kawaida tu mbona umesahau etoo aliondoka na mpira enzi za moyesHiki tulicho fanyiwa Leo
Nichakusikitisha mno
jamani mnautani na everlenk sio huyu sio wewe huyu everlenk toka huko uje hapa poleView attachment 423077
Vile mdudu Nzi alikuwa anaangalia game ya leo...
[HASHTAG]#justsaying[/HASHTAG]
Ah wapi iliharibika jana kwa Arsenal.... hongereni Man U kwa kutoweka Bus leo, Soon mtasema [HASHTAG]#WewantMoyesBack[/HASHTAG]!
Kabisa NduguLazima january asajili hakuna namna pale
ushindi leo ni wa lazima,tupunguze gap la points
[HASHTAG]#MOUOUT[/HASHTAG]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaha kumbe wewe una hela za mchezo mchezo.... kabisa unaweka hela kwa Arsenal lol
Moyes Back? wewe mfuasi wa Brendan Rodgers unafurahisha sana
Next Game against Noisy Neighbours angalia kitakachowatokea
Hao ni mabeki wanaotumia nguvu sio akiliChris Smalling and John Stones ni mabeki wa Uingereza na leo wamecheza mpira ambao unatia shaka juu ya uwezo wao kama mabeki.
John Stones akajikuta anampasia mshambuliaji wa Southampton ambae alifunga bila shida.
Baadae jioni beki mwingine Chris Smalling nae akafanya uzembe na Pedro akaifungia Xhelsea goli la kwanza.
Chris Smalling ni big signing kwa Man Utd nilikuwa namfananisha na Rio Ferdinand kwenye nafasi yake ya kucheza kama mkoba.
Man Utd ina kazi ngumu ya kurudi kuja kuwa timu iliyopata kutawala ligi miaka minne ilopita.
Kipindi tuko na Larsson Fergie alimtumia vizuri sana lakini Mourinho kumfanya Ibra striker tegemezi si sawa. Mtu ana 35yrs kucheza 90minutes as lone striker sio kazi ndogo.He's 34/35 not a good idea to play him for 90 minutes let alone 9 league games straight. Mourinho is a dumb one.