Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,410
- 82,307
Si hawa walikuwa wanasema soon zitaanza [HASHTAG]#WENGER[/HASHTAG] OUT?Mounriho MANU ni janga kubwa sana ni bora kumtimua before it is too late. Giggs akabidhiwe timu.
Wapi RRONDO?
Si hawa walikuwa wanasema soon zitaanza [HASHTAG]#WENGER[/HASHTAG] OUT?Mounriho MANU ni janga kubwa sana ni bora kumtimua before it is too late. Giggs akabidhiwe timu.
Ha ha haa!..kwa Liverpool si mlipaki basi.mlienda kwa lengo la kusaka sareSmalling anageuzwa tu leo daaah inauma sana wachovu kutupiga bora tungefungwa na liva tu
Mtabadili team nzima ila leo lazima mchezee 6 mtungi.Nadhan atoke fellain aingie mata na pogba arudi namba nane!!
Mkuu umeona kama mimi, huyu zlatan amekuwa shida sana kwa timu lakini bado mou hashughuliki nae. Anataka kutuaminisha kuwa bila yeye timu haifungi. Mtu anakaa karibu dakika 20 hajagusa mpira na anatembea tu uwanjani.Hivi kwa nini Mourinho hamgusi Zlatan, anamwogopa? Nasema tena kama nilivyosema last week jamaa(Zlatani) hafanyi lolote lakini bado anachezeshwa 90 minutes.
Leo kama ulibet halafu mkeka ukaweka ushindi kwako + ushindi huu sikupatii picha!Na kweli kilio chenu tumekisikia hahahahahahahahahahahahahaha
Kabisa ata nimeona anachokifanya ni kuiua kabisaMounriho MANU ni janga kubwa sana ni bora kumtimua before it is too late. Giggs akabidhiwe timu.
This is too low blood...no need to insult...
LOL naona watu wameingia kimya kimya jezi na mabango vimeshafichwa.

Leo wanalo.Leo kama ulibet halafu mkeka ukaweka ushindi kwako + ushindi huu sikupatii picha!
Kama riadha vilePogba!!!? Basi Mpaka Kante anamfunika Pogba a.k.a Mpira Pesa....! Gemu ya Leo Popobawa Hajatoa Pasi Hata Moja Anajogging tu Uwanjani.....
Mtaongea yote.Ni wakati sasa wa kurudi magotini na kumuomba Rooney msamaha kwa matusi tuliyomtukana