Ha ha haa!..haya hawakuyazoea walikua wanayasikia kwa jirani tu.kutesa kwa zamuKila nikiangalia game ya united namkumbuka Brendan Rodgers. Alisema united inabidi wazoee kupitia kipindi kigumu. Huu ndo ukweli mchungu.
Wachezaji wa aina ya Fellain hawana hadhi ya kuvaa uzi wa Man united. poleni sana haswa wadau zangu Belo na bint yako everlenk. Endeleeni kuwa wavumilivu katika kipindi hiki kigumu.
Wacha1. Uko wapi ndugu?
Nakuelewa Mkuu ila sina hakika Mou kama anakuelewa but hichi ndio kitu ambacho Mou anatakiwa kushtuka mapema, lolote atakalofanya tumeshachelewa, ilikuwa hivi kwenye game na Man CityKosa kubwa kwa Mou,
Pogba ni namba nane haswa, Hererra ni namba sita haswa, hata huyu Fella ni namba sita pia. Herrera anafanya kazi yake vizuri, Fella anapwaya kumalizia kazi nzuri za Herrera. Matokeo yake Pogba anaonekana Garasa kwa kazi mbovu za Fella, Hii kazi ya Fella ndiyo kazi haswa ya Pogba, hutaki kumpa namba yake. mpe basi mtu wa kucheza naye (Mata)
Haya basi unachuki na Matta, mpe Mikit amalizie kazi ya Pogba akicheza nane. Kwa trend hii anayoendanayo Mou, Kila mchezaji ataonekana Mbovu humu ndani, hivi sasa hapa Ibra anaonekana garasa kwa kukosa mipira ya Pogba, Mpemba pia amejaa presha kwa kukosa link kati ya Herrera, Fella na Pogba.
Halafu huyu Lingard mechi kubwa zinamshinda, kwanini humwamini Martial???
Utaanza kuchokwa kabla ya mda wako!!
Approach yake haikuwa nzuri. Alijua game itakuwa ya kitemi.Huyu koch ni wa kutimua tu
Kumbuka Mourinho alikuwa na beef na wachezaji hawa hasa Hazard na Costa msimu uliopita.Kazi kweli kweli leo
Ile man u ya pasi 3 goli iko wapi siku hz? 3 mtungi mpk Sasa..aibu tupu!!We can blame a lot fellain but smalling na blind leo hamna walichokifanya.
Ngoja tuone second half