lil wayne
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 992
- 905
Leo mtalaumu mchezaji mmoja hadi mwingine... Mara Lingard, mara big Fella, baadaye mtamlaumu kanyaboya... Tusubiri
Mpopo co-worker anatoka Guinea anadai Mguinea wa kifaransa anasema hivyo kuwa jamaa ana jina kubwa wakati mpira wake ni wa kawaida. Anadai mfaransa anashinda Saluni kama mdogo wake Issa Athumani(jina limenitoka) alivyokuwa anashinda MAPIPA Enzi zileLol mpopo gani wa UTD?
Simshangai huyo mpopo aliyekuambia.... wapopo wote wanashabikia Arsenal
Walcott ni maarufu mitaa ya Abuja kuliko East London lol
Kilio chetu kimesikika mkuu...fellain njeKosa kubwa kwa Mou,
Pogba ni namba nane haswa, Hererra ni namba sita haswa, hata huyu Fella ni namba sita pia. Herrera anafanya kazi yake vizuri, Fella anapwaya kumalizia kazi nzuri za Herrera. Matokeo yake Pogba anaonekana Garasa kwa kazi mbovu za Fella, Hii kazi ya Fella ndiyo kazi haswa ya Pogba, hutaki kumpa namba yake. mpe basi mtu wa kucheza naye (Mata)
Haya basi unachuki na Matta, mpe Mikit amalizie kazi ya Pogba akicheza nane. Kwa trend hii anayoendanayo Mou, Kila mchezaji ataonekana Mbovu humu ndani, hivi sasa hapa Ibra anaonekana garasa kwa kukosa mipira ya Pogba, Mpemba pia amejaa presha kwa kukosa link kati ya Herrera, Fella na Pogba.
Halafu huyu Lingard mechi kubwa zinamshinda, kwanini humwamini Martial???
Utaanza kuchokwa kabla ya mda wako!!
Uyu kocha bado anaamin katika nguvu nawakati sa hiv tupo ulimwengu wa mbinu so sion mabadiliko yeyoteSiku akicheza Fellaini huwa sina imani. Sijui Mourinho anampendea nini huyu mtu.
Kweli kabisaa aiseeeTunawapa sifa za bure hawa wachovu!