Hahahahahahah sio nuksi bali najaribu kuufanya Usheikh Yahya LOL! Nikiuweza na mimi nasema nimeoteshwa ndotoni naanza kuwachuna Wabongo! Buku 10 tu nakutabiria kila kitu chako na mpaka magonjwa yanayokujia huko siku za usoni....Ukitaka yasikupate ongeza buku nyingine 10 ili BAK ayaondoe hahahahaha LOL! habari za siku tele? BAK mzima kabisa.