DonDonald
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,542
- 2,741
Nimeshaanza kujiuliza maswali.
Hahahaha funguka mkubwa
Nimeshaanza kujiuliza maswali.
I know what am saying...mpira mpira ila Mou ninamfahamu. nitasema siku zoteeeeee no Mata pale man utd hakuna kipya...huo utabaki ukweli.Kwa hio ww unajua mpira kuliko mourinho.kufungwa kufungwa tu si lazima mshinde nyie
Mbovu ila si kwa chelseaWacha maneno maneno wewe...
Timu yako MBOVU..!
Nenda kampe...Luiz alistahili RED kwa faulo ya namna ile
Nimeshaanza kujiuliza maswali.
Aingie nani...haya nenda kabadili jezi uingie wewe!Toa useless fellain la nini humo ndani
Dalili ya mvua ni mawingu.Maswali gani mkuu? Mechi ya 9 hii ujue
Nani yuko valencia Moyes alishamuuzagaAingie nani...haya nenda kabadili jezi uingie wewe!
Leo lazima utakuwa na bitter sweet happiness mkuu. Mourinho analia, Chelsea anashinda. Ungeweka bet leo ungeondoka na quid kibao.Aingie nani...haya nenda kabadili jezi uingie wewe!