Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mourinho ananifurahisha sana kwa style yake. Best coach aisee.
 
Hahahahaha leo hakuna kucheza kutafuta draw kama last week. Kilichobaki ni kujaribu kupunguza idadi ya magoli mtakayopigwa. Mourinho Out brigade to come soon.
 
Leo Shaw na Mkhitaryan hawapo sijui Mourinho atamlaumu nani wakifungwa.
 
Namuona fergie jukwaani daaah nimeishia kumwaga chozi tu
Hii ratiba enzi zake ilikua nyepesi sana
 
Wikiend ilikuwa poa kabisa kuanzia game ya arsenal, man city na spurs, pameharibika hapa tu.
 
Back
Top Bottom