Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hivi naomba kuuliza.....siyo kila timu iliyocheza siku ile ndiyo inatoa man of the match?, mfano man u wanatoa waona liver wanatoa wao?

MOTM inategemewa inatolewa na nani.
Officially inatolewa na Sky Sports ndio wanampa pale uwanjani ila kila timu inaweza kushindanisha wachezaji waliocheza vizuri na kuwapa hiyo tuzo.
 
basi kuna watu wanakereka kuona de gea bado yupo manchester 😀😀
CvFKvdAWcAAtQlg.jpg

CvFKvdBXYAQVfYr.jpg

CvFKvdPWIAERYMw.jpg

CvFKvdYWgAA5iYW.jpg
 
usichelewe uwah mapema shule unategemea kitu usichokuwa nacho au kukiona hizo si ndoto sasa au utabir na unachokitegemea kisipofanikiwa itakuwaje? Sivyo vyote unavyotegemea vikafinikwa wengi tulitegemea liver angeshinda lakin wap

Kwa hiyo mfanyakazi anapotegemea kupata mshahara mwisho wa mwezi anakuwa anatabiri sio? Kweli Kiswahili kigumu hata kwa waliozaliwa nacho... Nitafutie shule.
 
Hivi naomba kuuliza.....siyo kila timu iliyocheza siku ile ndiyo inatoa man of the match?, mfano man u wanatoa waona liver wanatoa wao?
Kuna man of the match wa team husika kwa upande wao na pia man of the match wa mech husika na huchaguliwa na FA wenyewe
 
Kwa hiyo mfanyakazi anapotegemea kupata mshahara mwisho wa mwezi anakuwa anatabiri sio? Kweli Kiswahili kigumu hata kwa waliozaliwa nacho... Nitafutie shule.

umenifanya nicheke sana mwanzo umekop utabir wa giggs kwamba mashabik wa united wasitegemee kuona kandanda safi kwa mech moja ya liver nikakwambia huo ni ubashir umehama unaleta habar za wafanya kazi sasa nani haelew lugha? Kwa kukusaidia eneo hilohilo ulilolichagua hao wafanyakazi wanaijua tarehe yao ya kupokea salary? Maamuz ya magufuli akiamua kusema tunahakiki muwe wavumilivu nani atakataa? Wafanyakaz wa shirika la reli walikuwa wanakaa hata miez 6 bila salary fuatilia data kabla hujaziweka hapa.
 
Napoteza zangu muda na hii match ya Barca..

Ninalo moja tu la kusema, Hart alikuwa na Makosa yake, Ila hawa makipa wa saaa wa City, Wanaupumbavu mkubwa sana.

Guadiola atajuta sana kumuondoa Hart ilhali hakupata Mbadala wake.
 
Neymar kapiga penat kama juma rusewa, timu zetu za epl sio lolote si chochote, hii ni moja ya barcelona mbovu kabisa mtu unakufa 4, Pep nae ni louis van gaal aliyemjanja kwenye kusajili good players.
 
Napoteza zangu muda na hii match ya Barca..

Ninalo moja tu la kusema, Hart alikuwa na Makosa yake, Ila hawa makipa wa saaa wa City, Wanaupumbavu mkubwa sana.

Guadiola atajuta sana kumuondoa Hart ilhali hakupata Mbadala wake.

acha apigwe tu hamna namna
 
Back
Top Bottom