Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wakati tunarudiana mm isha kuwa bingwa so watacheza akaina Mignolet na Ings
Mourihno ni tactical sana nampongeza kwa hilo
Lkn Liverpool tulikuwa bora sana kipindi cha pili
 
Hakuna waliokereka na sisi kuondoka na point juanfield kama wajukuu wa mr bean, walitegemea na sisi tupewe nne kama wao, ghafla wamebadili gia wameanza kuizungumzia game ya chelshit.
Hao wana short memory...hizo games chache walizoshinda washaanza kuota ubingwa ila soon 'wenger out army' itaanza parade!
 
Na ndio ilikua target ya leo so welcome old traford
It's a shame, a multi millions assembled squad PARKING the bus, and the funny thing is some people think JM is a tactical geneus but when LVG was employing the same tactics every body was on his back, let's accept the fact that JM has lost the touch, he's INEPT tactically.
Mbinu hii inatakiwa itumiwe na timu kama Bournemouth inapoenda Anfield, sio Manu yenye squad ya thamani si chini ya milion 300 pounds.
 
Wakati tunarudiana mm isha kuwa bingwa so watacheza akaina Mignolet na Ings
Mourihno ni tactical sana nampongeza kwa hilo
Lkn Liverpool tulikuwa bora sana kipindi cha pili
LVG alikuwa anatumia hizo tactics ila kwa unafiki mkadai hana mbinu bora.
 
Weka figures za kila mchezaji tuone kama wanazidi hiyo £300M.
 
Hakuna waliokereka na sisi kuondoka na point juanfield kama wajukuu wa mr bean, walitegemea na sisi tupewe nne kama wao, ghafla wamebadili gia wameanza kuizungumzia game ya chelshit.
Na sikujua kwanini hawa wajukuu walikuwa wanatamani tufungwe kumbe walishapewa kichapo cha 4 ndiyo maaana....loh aibu yao.
 
barcelona wamuweke sokoni mess,neymar,suarez,iniesta halafu uje upige hesabu na jumla ya vikos vya alaves na celta vigo ambao walivuna point 3 kuna muda mpira una plan zake sio kuangalia shame mechi mbili za buyern na dortmund na hao waliowatoa jasho una gotze,kagawa,aubemeyung na bado walipigwa na rb leipzig
 
Umeanza lini kufatilia mpira? Au ni bendera fata upepo?
Bora ukae kimya kuliko kujiaibisha mbele za watu.
 
Kwani man u ni timu ndogo kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…