UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,886
McDonaldJr usiniambie hujui kitakacho mkuta man UNa nyinyi pia ni mashabiki wa Man Utd duh..?game ya Man Utd na Liverpool tangu na tangu ndio game yenye msisimko kwenu simply Utd na Liver ni Arch Rivals regardless nani yuko form najua mnadhani wapinzani wenu na Man Shit kwa kua mmedandia Utd labda ila waulizeni wenzenu umu ndani wanaoijua timu yenu ipi game pale EPL ina hekaheka kwenu kama sio na Liverpool yaani wendawazimu wa soka wenyewe wako wamevurugwa uko UK wewe kibanda umiza unajidanganya eti ni kawaida FYI leo Jose ana tension kuliko siku ya Man Shit like wise Kloop hii ndio game Rooney akifunga anaweza kufungua mvinyo mbele ya Jose na asifanywe kitu acheni kutuongopea muwe mnauliza.
Grory Grory Manchester United,,,!juanfield
welcome to manchester utd tony martial
ngoja tukawalipie kisasi
Nitangulize salam za pole kwenu, pamoja na yote mpate ujalisi mkubwa a kuvumilia kipigo hicho kikuu ahsanteni
Wala petroTutawanyoosha hakuna cha ibrahim wala yakobo leo
"We will try to win, that is for sure," he toldmanutd.com. "When they have the ball we have to defend and when we have the ball we have to attack. Mourinho words
Ipo overrated tu ila akuna jipya ilikuwaga enzi izo sio sasa ndomaana wamefikia hatua ya kuipeleka ichezwe usiku wa j3, Liverpool ni katimu kadogo tu kwasasa, katimu tulikokafunga game 4 mfululizo ktk misimu 2 iliyopita epl, Ni kweli nimeanza kuipenda Man Utd 2000 siwezi sema nilianza kuipenda 1980 wakati nimezaliwa miaka ya 1990Na nyinyi pia ni mashabiki wa Man Utd duh..?game ya Man Utd na Liverpool tangu na tangu ndio game yenye msisimko kwenu simply Utd na Liver ni Arch Rivals regardless nani yuko form najua mnadhani wapinzani wenu na Man Shit kwa kua mmedandia Utd labda ila waulizeni wenzenu umu ndani wanaoijua timu yenu ipi game pale EPL ina hekaheka kwenu kama sio na Liverpool yaani wendawazimu wa soka wenyewe wako wamevurugwa uko UK wewe kibanda umiza unajidanganya eti ni kawaida FYI leo Jose ana tension kuliko siku ya Man Shit like wise Kloop hii ndio game Rooney akifunga anaweza kufungua mvinyo mbele ya Jose na asifanywe kitu acheni kutuongopea muwe mnauliza.
Najua mme miss kushinda goli zaidi ya moja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sema inauzunisha sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa beki zipi pale manure mumtulize money? Maana coutinho kazi yake mnaijua sasa sielewi
Ipo overrated tu ila akuna jipya ilikuwaga enzi izo sio sasa ndomaana wamefikia hatua ya kuipeleka ichezwe usiku wa j3, Liverpool ni katimu kadogo tu kwasasa, katimu tulikokafunga game 4 mfululizo ktk misimu 2 iliyopita epl, Ni kweli nimeanza kuipenda Man Utd 2000 siwezi sema nilianza kuipenda 1980 wakati nimezaliwa miaka ya 1990