Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,851
C'mooooon this is football na hakuna wa kuni limit wapi ni post kuna comments na pics lundo za washikaji kutuoka Utd kule kwenye jukwaa la Arsenal,simply i'll keep posting as long as sivunji sheria za JF kumbuka football ni burudani.
Burudani ni kwenye jukwaa lenu.
thanks man, its only October hoping 4 d gud days to comeBro' long time nah see,pole sana kwa w'end kwenda ndivyo sivyo.
Hili ni jukwaa la wapenda soka wote as long as hawatukani wala kuvunja sheria.Utani ni sehemu ya mpira pia.Subiri siku wakifungwa ukafanye fujo jukwaani kwao.Mkuu kuna "Arsenal Special Thread" hilo ndio jukwaa lenu,habari,picha za Arsenal zinapatikana uko. Hili ni jukwaa la Man United
Bunley hawajang'oa viti utambwe ulitokea kule
mkuu la tambwe ni tofauti maana koscielny amefunga kwa mkono wakat tambwe amefunga kwa mguu
ni rahisi kwa mtoto kuchezea maziwa ya mama yake lakini sio kugusa ko..dani za baba, nyie ni wetu tu ile europa isiwape jeuri, shauri yenu
Burudani ni kwenye jukwaa lenu.
Kama kawaida Mteja Kwetu ni mfalme...
Unfortunately, the English 'Pirlo' is a Man United fan
Bunley Hawakung'oa Viti Kwa Sababu Hule Ni Uwanja Wao! Hata Hile ungelikuwa Ni Uwanja Wao Wa Club Wasingeliung'oa viti bali Wangeutunza Kama Wanavyolituza Basi lao.
Naomba nikuhakikishie kua nita post any time nasikia ku-post hapa,kasome sheria za JF kwanza nani kakuambia hili ni jukwaa lako.
Bahati mbaya tu mkuu kosa la kipa limetugharimu huoni hata madrid wanahangaika barca bayern cityYaan leo sja elewa ekewa hii droo imekuja vipi
Timu yetu hakuwa na bahati na haikuwa na winning mentality
Kufungwa, kudroo na kushinda ni sehemu ya mchezo kwa hiyo tuwe wapole, na siku zote makosa ndio husababisha matokeo so ni jambo la kawaidaBahati mbaya tu mkuu kosa la kipa limetugharimu huoni hata madrid wanahangaika barca bayern city
Tupo pamoja hapa kipa wao kafanya save nyingi tu ndio mchezo ulivyo.Kufungwa, kudroo na kushinda ni sehemu ya mchezo kwa hiyo tuwe wapole, na siku zote makosa ndio husababisha matokeo so ni jambo la kawaida